Clouds acheni vitisho

Kalila

JF-Expert Member
Sep 10, 2010
245
58
Rama dee na adili kwenye facebook wameandika kuwa kusaga na kinje wamekaa kikao na kujadili jinsi ya kupunguza makali vinega na vinega wamerekodi mazungumzo yao acheni hayo mambo mjue sasa ishu si ya vinega hii movement ipo kwa raia sasa na dunia yote inajua hamuwezi kuzuia mvua mmenyonya sana wasanii vinega sio kama misukule.sasa watapambana na UMA. hawa clouds sijui wanapata nguvu wapi
Soggy doggy alitekwa juzi na kutishiwa maisha yake na pia gari yake kuharibiwa sijui nani anafanya haya mambo
 
kumbe janja yao ni kudhulumu jasho la wasanii.?
Kusaga do something, heshima ya redio yako inashuka taratibu
 
Kwani cluds ni rejio ya wapi mbn inatajwa sana si huku nanjilinji hatuijui kabisa ingekuwa tbc sawa hako karejio mshenzi msikape promo bana hawasikiki nji nzima so sio dili kabisa!!!
 
And you call yourself a Great thinker..! Matusi huwa yanaharibu maana ya madai yoyote yale


Sasa UNABISHA NINI??? Clouds kuna mshoga na its true mi nnao wajua na nimethibitisha ni zaidi ya 4 sasa UNABISHA NINI??? umenikera kweli kujifanya we mpole na una busara sana kumbe hujui kitu..mmezoea kubisha tu hata msio yajua,..shame!

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom