Cloud TV kumelipukiwa na Mabomu?

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
5,182
2,304
Jamani naomba akina Kibonde mtupatie majibu mbona Cloud TV inaonyesha cheche tupu tangu jana au mabomu ya Gongo la mboto yaliwalipukia?

Tangu jana cloud TV imekuwa haionyeshi kitu chochote zaidi ya screen ya kijivu inayopitisha vitu kama cheche.

Wakuu tunaomba mtujuze au ndo majaribio yameshindikana
 
Ubunifu....Huoooo.....ha haa kama vile malaysia..walivyo kuwa wanatakangaza kwa kutumia vibatari kuonyesha kero ya umeme.
 
Back
Top Bottom