Clip ya Video ya Bw. Lwakatare (mtazamo tofauti)

Picha ni halisi,sauti sehem ndogo ni feki

Ludovick ndo aliyemuuza Lwakatare

kageresha na administrative asst,ana kazi nyingine huyu
 
Una uhakika ya kwamba CUF waliingiza majambia nchini? Sasa kwann hawakufikishwa mahakamani?Au unafikiri kwa tumbo?
 
Leo lwakatare mahakamani; nauhakika mahakama inatenda justice
 
Kwa taarifa zisizo rasmi ni kwamba Lwakatare kalamba pesa ya maana kutoka kwa magamba ili kukihujumu chama kwa

filamu isiyokuwa na kichwa wala miguu. Naomba uchunguzi wa kina ufanyanywe na cdm ili tujiridhishe kama chama dhidi

ya haya mapandikizi.
 
Kwa taarifa zisizo rasmi ni kwamba Lwakatare kalamba pesa ya maana kutoka kwa magamba ili kukihujumu chama kwa

filamu isiyokuwa na kichwa wala miguu. Naomba uchunguzi wa kina ufanyanywe na cdm ili tujiridhishe kama chama dhidi

ya haya mapandikizi.

Mnaweweseka kweli! Dr. Slaa ameshamkana Ludovick ambaye ni kijana wake sasa subirini Ludovick awalipue.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwa taarifa zisizo rasmi ni kwamba Lwakatare kalamba pesa ya maana kutoka kwa magamba ili kukihujumu chama kwa

filamu isiyokuwa na kichwa wala miguu. Naomba uchunguzi wa kina ufanyanywe na cdm ili tujiridhishe kama chama dhidi

ya haya mapandikizi.
Inafika mahali ambapo pesa si kitu cha dhamani sana kwako., katika nafasi kama ya Ng. Lwakatare ameyafahamu mapambano tuliyo nayo., amekwisha pitia mambo mengi nakujiweka hatarini mara nyingi ilikuyatetea yale tunayo yaamini kama misingi ya DEMOCRACY na misingi ya kuundwa kwa CHADEMA.

moyoni sioni hofu juu ya uNg. Lwakatare., ninajua katika mapambano kama haya mengi yanaweza kusemwa ilikutu dhoofisha.,

lakini ndugu zangu., wakati kama huu sio wakati wakugawanyika hata kidogo., sio wakati wakuhisiana vibaya., niwakati wakusimama pamoja nakuendeleza mapambano.,

lakini lazima niseme wazi pia kwamba., ikithibitika amepewa pesa kufanya haya., atawajibika dearly!! kwakua hiyo ndiyo misingi ya Democracy na hiyo ndiyo misingi ya CHADEMA.
 
Hakuna haja ya kupanic na kukurupuka ki maamuzi. Kama Rwakatare alinunuliwa, basi mchezo umefikia mwisho. Ukweli utajulikana muda mfupi ujao!
 
kwa mpasuko uliosemekana kuwepo ktk chama ukioanisha na filamu hii na wahusika wake , hakuna sababu ya kuninifanya nisiamini tetesi hizi za hujuma !
 
kibopa unaishi na ndoto za chama kushika hatamu.ccm ni maiti tayari haiwezi fufuka. Mliosalia na mtindio wa ubongo mnajitahidi ku survive kwa kutumia mbinu za kitoto ambazo sasa zinawatokea puani.mtoa mada kajiunge na shule maalum upate kuondolewa huo mtindio
na kwa sababu yeye ana ukimwi anafikiri kila kitu kina ukimwi chadema haiyumbi hata kwa mawimbi na hata ikifa ccm itavuruga nchi tu.ningekuwa na uwezo ningewapiga ukoma viongozi wote washenzi wa ccmagamba
 
Ujinga ni kufikiri kuwa CHADEMA
itakufa kutokana na video za You tube... Wakati 90% ya watz hawajui Youtube ni
nini ama hawawezi kuaccess na kupakua
ama kuangalia kinachoitwa video za
mikakati ya kuteka waandishi.

Hata mimi nashangaa kwa nini ccm wantumia njia za kitoto kama hizi;
Kwanza wajue kutokana na ujinga wao wa kulazimisha watu kuingia digitali idadi ya watazamaji wa luninga wamepungua sana, kwa hiyo taarifa ya Rwakatale inajulikana mitandaoni tu

Pili ushahidi wa umati ulioitika jana huko shinyanga ni tosha kukujulisha kuwa watanzania they ar irresponsible with mavituko ya ccm.

CCM wajipange upya wanapoteza muda.CDM kamua hadi kieleweke
 
Back
Top Bottom