Clint Eastwood & Samwel L. Jackson

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Kwa wale wapenzi wa zile Movie za Kibabe natumaini mtakua mnawafahamu hawa jamaa yaani Clint Eastwood hapo kushoto kwako halafu na kulia kwako ni Samwel L. Jackson! Nani anabisha kama hawafanani na picha hizi hapa chini?
Clint Eastwood and Samuel L Jackson.jpg
 
Angalia kwa umakini sana hii picha ya Clint Eastwood!
401677-eastwoodzen.jpg
 
Umenikumbusha Mzee Clint Eastwood katika picha yake ya zamani sana akiwa na Richard Burton -WHERE EAGLES DARE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom