clinical officers and medicine????

Hakuna form 6 anayesoma AMO,intake ya amo ni kwa clinical officers tu
Assistant Medical Officer...ni Advanced Diploma ya Medicine...wanaendaga form 6 amabo matokeo hayaruhusu kwenda medical school moja kwa moja au Clinical Officers baada ya Utumishi wa miaka kadhaa.....kwani wewe level gani?
 
serikari ipo ktk mchakato wa kuifuta hiyo AMO mwezi wa 6 wakati nafanya application diploma MUHAS doctor 1 alituambia
 
Sidhani kama Clinical officer anaweza kwenda Medical School moja kwa moja ila AMO ndio wanaingiaga medical School na wanaanza mwanzo kabisa(mwaka wa kwanza).....Clinical officer bado chini sana mkuu...hata form 4 failures wanaenda...piga kwanza AMO then uangalie michongo ama fanya PCB private class then fanya mtihani(hii ngumu kumesa)...Walishaongele juu ya AMO kupunguziwa miaka waendapo medical school ila bado haijapita...Good luck
mzush ww co weng nw wanasoma md IMTU KCMC na BUGANDO....AMO mara nyingi wazee hawapend kujisumbua na kusoma MD kwan huwa wanaamini wao sawa na MD
 
kaka nnachoelewa ni kuwa ngazi za udaktari ni ASSISTANT CLINICAL OFFICER,CLINICAL OFFICER,ASSISTANT MEDICAL OFFICER,MEDICAL OFFICER(MEDICAL DOKTOR).
Na ipo hivi,ukipiga certificate kama una sifa za cert. ukimaliza ukataka unaeza enda mpaka degree, sababu utafanya kazi miaka husika nadhani miwili kisha unaunga C.O(clinical officer) ambayo ni diploma na vigezo vyake, moja ni kama ilivyoandikwa kwenye fomu za wizara yaani form six princilple tatu PCB na form 4 ilivyotajwa.

kwenye C.O kama ilivyoandikwa ni kwamba, form six mwenye hizo priciple na form 4 mwenye hivyo vigezo, sasa huyu akitaka kujiendeleza ana chaguzi mbili moja kuna baadhi ya vyuo kama KCMC wanataka ufaulu mzuri katika diploma na certificate yaani A.C.O na C.O pia awe na priciple moja A-LEVEL kwenye PCB. Kwa mujibu huo unaona form four kupata degree hatoweza katika chuo cha KCMC na form six aliefeli akiwa na hiyo principle anakuwa na nafasi ya degree,sasa huyu form 4 aliyechukua certificate au huyu mtu aliyechukua certificate na hakufika form six au hana principle pass anapita A.M.O.......sijajua zaidi kuhusu vigezo vya AMO ili asome degree inahitajika nini ilo labda nisaidiwe,pia nimesikia mtu wa A.M.O anachukua degree. LAKINI MTU ALIEMALIZA SIX HAKUWA NA UFAULU WA KUCHUKUA DEGREE HAWEZI ENDA A.M.O MOJA KWA MOJA, bila shaka utakuwa umenielewa kwa ngazi ya AMO. Ahsante
 
vyuo vyote vinachukua clinical officers kwenda medicine tena tangu zamani, ndio maana kuna nacte na tcu.clinical officer ni diploma sasa kuna mtu amechangia ipo chini sana sijui ana maana gani! hata A.M.O anaingia medicine sawa na clinical officer kama akiamua kuendelea,kuna kozi za afya kama environmental health officers hao ndio hawawezi kuingia medicine na wana degree zao tofauti na medicine.
 
Sidhani kama Clinical officer anaweza kwenda Medical School moja kwa moja ila AMO ndio wanaingiaga medical School na wanaanza mwanzo kabisa(mwaka wa kwanza).....Clinical officer bado chini sana mkuu...hata form 4 failures wanaenda...piga kwanza AMO then uangalie michongo ama fanya PCB private class then fanya mtihani(hii ngumu kumesa)...Walishaongele juu ya AMO kupunguziwa miaka waendapo medical school ila bado haijapita...Good luck

Ulaya & Marekani hawa AMO & hawatambuliki!!!Ni MD tu,ndiye unaitwa Dr!!!!!!
Hii ni bongo tu
 
Sidanganyi mkubwa labda wewe ndio ufahamu ....Diploma(Stashahada) ya udaktari ilikuwa ni ngazi ya form 4 mpaka hivi majuzi walipoamua kuongeza na form 6...ila bado form 4 mwenye ufaulu wa C katika Chemistry na Biology na D katika Physics anaweza kwenda...angalia hili tangazo la wizara halafu uniambie nani anangopa soma vizuri kipengele 3 (iii)...
Kumbe form six wanakujaga kutubania tu! Sisi form 4
 
Hivi nikisoma environmental health science naweza kujiajiri vipi??
 
holaa, napenda kujua kama kuna chuo tanzania kinapokea clinical officers kufanya medicine, na kama kipo je wanaanza mwaka wa ngapi?:sleepy::sleepy:
Vyuo vyote vya MD hapa Tanzania wanapokea clinical officers na ni kuanzia mwaka wa kwanza,mm mwenyewe ni clinical officer nimepata nafasi pale CUHAS zamani BUGANDO.
 
Vyuo vyote vya MD hapa Tanzania wanapokea clinical officers na ni kuanzia mwaka wa kwanza,mm mwenyewe ni clinical officer nimepata nafasi pale CUHAS zamani BUGANDO.

Mkuu walinitisha sana maana ndo nachukua co mwaka huu.thnx kwakunijuza.na mkopo mkuu unapata kama kawaida?
 
serikari ipo ktk mchakato wa kuifuta hiyo AMO mwezi wa 6 wakati nafanya application diploma MUHAS doctor 1 alituambia

Yap ni kweli now AMO inafutwa na imeletwa Bachelor of science in clinical medicine hii ni special for clinical officers, kwa vyuo vya serikali iliyokuwa Mbeya AMO training centre imeanza mwaka huu ila private ni kama KIU na IMTU. CO anatumia miaka 2 tu kujipatia degree yake ya Clinical Medicine.
 
sijakusoma vizuri hapo mkuu? Inaamana bachelor in clinical medicine itakuwa inautofauti na MD wanayosoma miaka 6 nakuomba unieleweshwe juu ya hilo mkuu
 
sijakusoma vizuri hapo mkuu? Inaamana bachelor in clinical medicine itakuwa inautofauti na MD wanayosoma miaka 6 nakuomba unieleweshwe juu ya hilo mkuu

Medical doctor na clinical medicine ni cozi za madaktari duniani wenzetu kenya walianza kitambo na clinical medicine tz ilikuwa inaishia advanced diploma which is AMO, kwa tz iko chini ya NACTE bt inaendeshwa na MOHSW while MD iko chini ya TCU. CA ni level 5, CO ni level 6 na Bsc In CM ni level 8 kwa grade za NACTE so kutoka CA kwenda CO na Mwishoe bacherol of science in clinical medicine (Bsc CM) ni just mata ya ku upgrade tu.
 
Back
Top Bottom