clinical officers and medicine????

vena

JF-Expert Member
Apr 14, 2011
311
39
holaa, napenda kujua kama kuna chuo tanzania kinapokea clinical officers kufanya medicine, na kama kipo je wanaanza mwaka wa ngapi?:sleepy::sleepy:
 
Sidhani kama Clinical officer anaweza kwenda Medical School moja kwa moja ila AMO ndio wanaingiaga medical School na wanaanza mwanzo kabisa(mwaka wa kwanza).....Clinical officer bado chini sana mkuu...hata form 4 failures wanaenda...piga kwanza AMO then uangalie michongo ama fanya PCB private class then fanya mtihani(hii ngumu kumesa)...Walishaongele juu ya AMO kupunguziwa miaka waendapo medical school ila bado haijapita...Good luck
 
AMO ndo kitu gani hiyo mkuu...
 
AMO ndo kitu gani hiyo mkuu...

Assistant Medical Officer...ni Advanced Diploma ya Medicine...wanaendaga form 6 amabo matokeo hayaruhusu kwenda medical school moja kwa moja au Clinical Officers baada ya Utumishi wa miaka kadhaa.....kwani wewe level gani?
 
Sidhani kama Clinical officer anaweza kwenda Medical School moja kwa moja ila AMO ndio wanaingiaga medical School na wanaanza mwanzo kabisa(mwaka wa kwanza).....Clinical officer bado chini sana mkuu...hata form 4 failures wanaenda...piga kwanza AMO then uangalie michongo ama fanya PCB private class then fanya mtihani(hii ngumu kumesa)...Walishaongele juu ya AMO kupunguziwa miaka waendapo medical school ila bado haijapita...Good luck

kaka umedanganya.clinical officer ni ngazi ya diploma na nilazima uwe umemaliza kidato cha sita na kuanzia mwaka huu wamekaza masharti lazima uwe na principle zote 3 za pcb ili uweze kusoma na ukimaliza unaweza kwenda degree chuo chochote
 
uko sahii kabisa ndugu yangu.Pia AMO sio form six direct entry.. ukimaliza Clinical Off. unaweza kujiunga na vyuo vya AMO kama vile Bombo Tanga.Mbeya, na pia KCMC.
 
IMTU ni private unajilipia mwenyewe,havyo vya Serikali bei ni poa sana!
 
Vyuo vyote vya madaktari wanapokea watu hao. nawafahamu madaktari wengi na wenine ni maprofesa walianza kama medical assistant wakaomba na kufanya vizuri sana. Hiyo huitwa equivalent qualification. Kuna ADO, AMO DT wengi tu MUHAS, IMTU, Tumaini, Bugando, kwa Kairuki. Ni wazuri sana masomoni na kazini watu hao bwana usipime. Achana na longolongo za watu, jaribu kuomba ukipeleka vyeti vyako vyote. Sio lazima ufike form six, elimu ya lazima sana ni ile ya form four ulipata nini. Ukibeba makarai form four ukaongeza na Clinical officer nau ukapaa zaidi kupata AMO au ADO wewe unapeta tu. Miaka mitano ni shule hiyo siku hizi sababu mwenendo ni wa semester na lazima zitimie semester 10. Zamani AMO walisamehewa junior clinical rotation, wakasoma miaka minne tu, yaani miaka mitatu ya kwanza anachumpa kuingia mwaka wa mwisho akiungana na walio mwaka wa tano. Siku hizi ni ccm sio tanu tena wala asp. Uliyo? Upulihe? Jaga lulu.
 
Assistant Medical Officer...ni Advanced Diploma ya Medicine...wanaendaga form 6 amabo matokeo hayaruhusu kwenda medical school moja kwa moja au Clinical Officers baada ya Utumishi wa miaka kadhaa.....kwani wewe level gani?

mi nafanya MD.
 
kaka umedanganya.clinical officer ni ngazi ya diploma na nilazima uwe umemaliza kidato cha sita na kuanzia mwaka huu wamekaza masharti lazima uwe na principle zote 3 za pcb ili uweze kusoma na ukimaliza unaweza kwenda degree chuo chochote

Sidanganyi mkubwa labda wewe ndio ufahamu ....Diploma(Stashahada) ya udaktari ilikuwa ni ngazi ya form 4 mpaka hivi majuzi walipoamua kuongeza na form 6...ila bado form 4 mwenye ufaulu wa C katika Chemistry na Biology na D katika Physics anaweza kwenda...angalia hili tangazo la wizara halafu uniambie nani anangopa soma vizuri kipengele 3 (iii)...
 
Sidhani kama Clinical officer anaweza kwenda Medical School moja kwa moja ila AMO ndio wanaingiaga medical School na wanaanza mwanzo kabisa(mwaka wa kwanza).....Clinical officer bado chini sana mkuu...hata form 4 failures wanaenda...piga kwanza AMO then uangalie michongo ama fanya PCB private class then fanya mtihani(hii ngumu kumesa)...Walishaongele juu ya AMO kupunguziwa miaka waendapo medical school ila bado haijapita...Good luck
uongo uliotukuka
 
Vinapokea AMO = Assistant Medical Officers ,hawa wana advanced Diploma ya Udaktari na sio Clinical officer labda uende IMTU kama alivyosema jamaa hapo juu

kabla ya kuchangia ni vizuri kwanza ukawa na uhakika na unalolifanya
clinical officer ni dipl in clinical medicine:
AMO ni Higher dipl in clinical medicine:
vigezo vya kusoma CO/AMO Ni form4 na form6 lakini kutokana na ushindani wanafunzi wanaochukuliwa wengi ni form6 na AMO nilazima awe amesoma CO na kufanya kazi kwa muda wa miaka 2.ndipo anaweza kusoma AMO
kuhusu kosoma MD wote wana nafasi za kusoma chuo chochote cha kinachotoa MD na maombi yao lazima yapite NACTE kwa msaada tembelea web TCU na udown admission g,line
 
Wewe mwongo ningekua jk ningekuita mzandiki,clinical officers wanafanya medicine,AMO ni equivalent to MD(KWA HAPA tz) hvyo wanaendelea na postgraduate.,na hakuna form 4 failuire anaingia clinical officer

Back
Top Bottom