Cleopa Msuya: Ya Tunisia yanaweza kutokea Tanzania

Hao wa Tunisia. Misri, Algeria,Yemen hawakuwa longa longa kama wanaJF!

Maisha yalipowashinda waliona hakuna mbadala ila kuwaondoa viongozi wanaotoa ahadi tamu bila kuzitekeleza.
"maisha bora kwa kila mtanzania", mkoa huu utakuwa Califonia, mkoa huu utakuwa Dubai....
Wakati mtu mlo mmoja unamshinda...

Wananchi hawadai keki na usafiri wa ndege....wanataka at least kuona viongozi wanafanya kazi ya kuwaletea unafuu wa maisha.

Tukiyachoka hatutasema...tutatenda......kwa sasa tuendelee na kufurahisha jamvi!

Ukipewa tafsiri ya yanayoendelea kwenye Blogu zao sisi kelele zetu ni kama cha toto mchanga.
Wenzetu walianza kupinga serikali zao miaka 30 iliyopita.
Maneno yako si kweli hata kidogo.
here in JF we are doing great job and you cant shy us away. You simply cant.
 
Ukipewa tafsiri ya yanayoendelea kwenye Blogu zao sisi kelele zetu ni kama cha toto mchanga.
Wenzetu walianza kupinga serikali zao miaka 30 iliyopita.
Maneno yako si kweli hata kidogo.
here in JF we are doing great job and you cant shy us away. You simply cant.

Nimekuelewa mkuu,
Sasa sisi tumeanza lini kelele zetu? na mwaka gani tutakuwa tumefikisha miaka 30?
 
Watanzania lazima tuwe makini, wakristo kwa waislam hili la udini limeasisiwa na JK na alifanya hivyo mara baada ya kugundua hakubaliki kwa watanzania.N i bahati mbaya sana wenzetu waislamu wameingia mkenge na kupokea ujmbe wa kikwete kana kwamba wanabaguliwa waislam wakati si kweli.
Swala la udini hapa halipo kwanza ni kutokana na muingiliano katika kuoana na kuzaana.Lakini waislam wasipokuwa makini JK atawatumia kama nguzo yake ya kujilinda lakini ki-halisia udini haupo.
Ni vema wajomba zetu, kaka zetu, kaka zetu, shangazi zetu waislam wakalielewa hili na wakaondoka katika mtego huo vinginevyo 2015 CCM watapeta tena kwani watakuwa wamefanikiwa kutugwa na hivyo tutaendelea kusota na hata hiyo KATIBA tunaweza tusifanikiwe kuiandika sababu ya mgawanyiko wa udini.
JK alijua kuwa Watanzania wanataka mabadiliko ndiyo maana amefanikiwa kwa kasi kubwa kuingiza hoja ya udini na tayari imestawi kwa sasa, alijua kuwa yanayotokea Misri , Tunisia yangekuja pia TZ na hivyo amefanikiwa kutugawa na ya Misri na Tunisia ni ndoto kutokea TZ labda tu wenzetu waislamu wajinasue kutoka kwenye mtego walionasa.
 
Kwa hiyo sasa uislamu ni kinga ya kila uovu wa watawala? Mbona sasa uislamu utatumiwa kama kichaka cha maovu??


Ni kweli kabisa watawala na Viongozi wengi waovu wa Tanzania wanatumia Uislam kama kinga yao.
 
kwa sababu kinachopigwa vita hapa si rais kikwete bali ni rais muislam jaribuni muone repakasheni yake ya upande wa pili. kwani hata sisi tumechoka na vituko vyenu.

Sasa kwa nini mlimsimamisha LIPUMBA na RUNGWE kumpinga mwislamu mwenzao....quite hojaless
 
kwa sababu kinachopigwa vita hapa si rais kikwete bali ni rais muislam jaribuni muone repakasheni yake ya upande wa pili. kwani hata sisi tumechoka na vituko vyenu.

ngwendu, au kingwendu??

Wewe ni mojawapo ya mijitu tunayosema ina Chicken IQ!
Kufikiri kwako ni sawa na kuku tu. Hapa hatuzungumziii UDINI banaaaaa!!!!

Hebu nikuulize swali rahisi kabisa: Je,huko TUNISIA,EGYPT(MISRI),YEMEN na other ARAB countries MARAIS WAKE NI WAKRISTO??????
Kwa taarifa yako Ben Ali,Hosni Mubarak na Ali Abdulla Saleh ni marais WAISLAMU hakuna MKRISTO hapo. Isitoshe HAO WANANCHI WANAOANDAMANA KUPINGA HIZO SERIKALI ZAO NI WAISLAMU si WAKRISTO sina hakina kama kuna some few Christinians among them.

Kwa hiyo Kingwengu/ngwedu hoja yako ni DHAIFU SANA na ya KIPUUZI. WATU WANATAKA MABADILIKO SI HUKO ARABUNI TU BAALI NI DUNIA NZIMA! HATA HIVYO SISHANGAI KUSIKIA KAULI HII KUTOKA KWA MUISLAMU HASA WA TANZANIA!NDIYO UPEO WENU WA KUFIKIRI INAPOISHIA KWA HIYO WEWE ENDELEA NA UJINGA WAKO WA KUSHINDA MSIKITINI NA KUSWALI SALA ZAKO TANO WAKTI DUNIA INATAFUTA MAGEUZI KWA AJILI YA MAENDELEO.

Kama haya mageuzi yameshaanza huko Arabuni,usije ukafikiri kuwa yataishia huko huko. Tanzania siyo kisiwa,ni swala la muda na wakti tu. Very soon tunategemea kuona MAANDAMANO YA NGUVU NCHI NZIMA KUPINGA UTAWALA WA KIIMLA NA WA KIDIKTETA WA SERIKALI YA CHAMA CHA MAFISADI-CCM.

Sababu zilizosababisha WATUNISIA,WAMISRI NA WAYEMENI ndizo hizo hizo TULIZO NAZO HAPA TANZANIA. Hakika vuguvugu liloanzishwa na ndugu zetu wa nchi za Kiarabu hakika LITASAMBAA DUNIA NZIMA MPAKA HAPA TANZANIA.Hilo haliepukiki lazima linakuja mpende au msipende!

Wasalaam.
 
kwa sababu kinachopigwa vita hapa si rais kikwete bali ni rais muislam jaribuni muone repakasheni yake ya upande wa pili. kwani hata sisi tumechoka na vituko vyenu.

Hebu amka wewe, mbona umegubikwa na blanket la udini sana! Hapa watz wanataka kuondokana na udhalimu wa watawala wetu mafisadi. Wewe unamaslahi gani na dini ya rais wa tz? Hata kama kuna muislam mwingine aliye safi tutampa provided atakemea ufisadi kwa vitendo!
 
Now I have reasons it is likely to happen in tz, huyu mzee anajua intelijensia
 
Back
Top Bottom