Clearing and Forwarding Agent

Ramthods

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
515
186
Wadau,

Nina gari inakuja mwisho wa mwezi huu, ipo kwenye meli.
Naomba recommendation ya clearing agent mzuri based on your experience.

Jamaa niliokua nawatumia wamekua kichefuchefu, so sitaki kufanya makosa this time.

Shukran
 
Cheki na Levison, 0714513876. Ni mzuri mno na hana logolongo hata kidogo, nimeshamtumia mara kadha wa kadha.
 
Nenda pale ccm mkoa,Dar es Salaam,mtaa wa Lumumba,ghorofa ya kwanza ipo kampuni inaitwa Uwanji and clearing agents ni wazuri sana,hata ile tender ya pensel za sensa walipewa maana hata bei zao ni affordable. Unaweza kumpigia 0713320061
 
Cheki na Levison, 0714513876. Ni mzuri mno na hana logolongo hata kidogo, nimeshamtumia mara kadha wa kadha.

thanks for this,
Nime-google hii thread na jamaa nimemuona leo.
Yuko poa.
 
Back
Top Bottom