Classical Music!!!

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Wadau.. naomba kufahamu mahala popte ambapo naweza pata santuri za Classical music... symphonies r the best... (Mozart, beethoven, Bach e.t.c)!!

Natanguliza shukrani!!
 
Your best bet is online, try Amazon.com. Kama uko bongo na huna access ku order online I am not sure kama utapata, kuna wakati I walked into this chic music store at Morogoro Stores, nikaulizia Classical music, the girl didn't know the difference between classical music and the classics.

Labda kama kuna sehemu wamefungua karibuni wadau wanaweza kutuhabarisha.

Of course there are always some unadvisably unorthodox means, but I won't recommend that.

Try some public domain renditions like those on Jamendo.com which is totally free and legal.
 
Mkuu kuulizia classical music hapa DSM ni kama kuulizia glasi ya maji katikati ya jangwa la Sahara.
Classical Music discs zipo at individual level kwa sehemu kubwa.
 
Kama unataka kununua santuri za classical music
huwezi kukosa ebay.

Gonga hapa kununua classical music kutoka ebay

Kama unataka za bure za kunyonya (download)
unaweza kupata kwenye mitandao ya torrent ila
lazima uwe na high speed internet.

Nime-assume unajua kutumia torrent na una
bittorrent client (kama utorrent) kwenye mashine
yako.

Gonga hapa kunyonya torrent kutoka Isohunt

Unaweza pia kutumia "advanced google search
opreand" (filetype:torrent) ili ku-specify results
to torrent files.

Gonga hapa kutafuta torrents kutoka google

Play around na different keywords kama beethoven,
mozart n.k ili kupata kile unacho kitaka
 
Mkuu mi hiyo avatar inanikwaza, kana kwamba ndo umeninyooshea hiyo midle finger huku ukihitaji msaada.
 
asanteni wakulu... ninayafanyia kazi majibu mlonipa...be blessed!!!
 
Back
Top Bottom