Cl quarter final draw: ac milan atupiwa zigo la barca

Polisi

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,082
639
Marselle vs bayern munich
APOL vs real madrid
benfica vs chelsea
ac milan vs barcelona

semi final
marsell or munich vs apol or madrid
benifica or chelsea vs milan or barca

final
madrid vs barca?
 
Kwa tahadhari tu:
Real madrid asitegemee kushinda kwa urahisi dhidi ya APOEL kwani ni timu ngumu sana na wanacheza mpira wa kisasa kama ule wa Barca.
Pia kwa hawa Milan vs Barca hapo haina shida sana naona milani anaweza kupita coz wanawajua indeed Barca. Then nafikikiri final itakuwa
CHELSEA vs REAL MADRID.
 
Umeanza kwa point kisha umemalizia kwa utumbo...
Hivi kabisa umepiga mahesabu eti chelsea watawafunga Milan ktk nusu fainali?
Hivi unawajuwa Milan au unawachanganya na Inter?
Hebu futa haraka huo utumbo ulouandika.
 
kwan ac milan wana nini special. Walipigwa tatu kwa yai na watoto. Kuna mtu alitegemea man u kufurushwa katika hatua ya makundi ya cl?
 
Kwa tahadhari tu:
Real madrid asitegemee kushinda kwa urahisi dhidi ya APOEL kwani ni timu ngumu sana na wanacheza mpira wa kisasa kama ule wa Barca.
Pia kwa hawa Milan vs Barca hapo haina shida sana naona milani anaweza kupita coz wanawajua indeed Barca. Then nafikikiri final itakuwa
CHELSEA vs REAL MADRID.

we utakua mchambuz wa mpira,umeongea ukwli mtupu,ntumie# yko nku2mia hta dola tano aise.
 
kwan ac milan wana nini special. Walipigwa tatu kwa yai na watoto. Kuna mtu alitegemea man u kufurushwa katika hatua ya makundi ya cl?

yah,mi nltgemea kwa sababu zifuatazo.man u awajui mpira ila wanabebwa na marefa(refer mech ngum zote wanazo karbia kushndwa uwa wanapewa penalt)na ndo maana hata europa wmegongwa hme n away.
 
Basi tegemea na chelsea kuifurusha benfica na hao milan wenu
 
Marselle vs bayern munich
APOL vs real madrid
benfica vs chelsea
ac milan vs barcelona

semi final
marsell or munich vs apol or madrid
benifica or chelsea vs milan or barca

final
madrid vs barca?

Madrid wataanzia ugenini aprili 17. Uwezekano wa bayern kushinda ni mdogo sana. Wanaweza kutoa draw au ushindi mwembamba. Mechi ya marudiano bayern atanyeshewa mvua ya magoli. Barcelona nao wataanzia ugenini aprili 18. Matokeo yoyote stanford bridge hayataizuia barca kusoma mbele kwa kutumia mechi ya marudiano. The possibility madrid and barca will make final is high so is madrid to be crowned champions
 
Mmmmh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom