Civil Vs Mining Eng. Ipi ni big deal hapa Tz?

Su Hai

Member
Sep 28, 2012
5
0
Kati ya civil &mining Eng. Ni ipi ina good future kwa hapa tanzania in terms of emplymnt opprtnts&income?
 
kwani ni ipi unaipenda kati ya hizo....afu ni vyema ukawa na malengo ya kujiajiri,naiman itasaidia pia....zote ziko poa ila civil inaweza kuwa poa zaid maana ni simple kujiajiri....
 
soma civil kwani mfano mzuri ni mmoja wa founders wa JF ni alisoma hiyo kitu so mkuu komaa na civil utatoka..

au kama hutaki kujiajiri soma mining uje bully tule bata..
 
soma civil kwani mfano mzuri ni mmoja wa founders wa JF ni alisoma hiyo kitu so mkuu komaa na civil utatoka..

au kama hutaki kujiajiri soma mining uje bully tule bata..

Hakuna engineering course mbaya....labda ni mtazamo wangu tu. Tunachokosa ni nia ya kukomaa ili tuweze kutengeneza pesa. Mining, au Civil au Chemical mtu yoyote akiamua anapiga bingo. Ingawa ukiniuliza mimi, Civil naifagilia sana.
 
Back
Top Bottom