Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Civil engineer

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by musangano, Feb 25, 2013.

 1. musangano

  musangano JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2013
  Joined: Nov 17, 2012
  Messages: 112
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 18
  Nina degree ya civil engineering, nimefanyakazi mwaka 1, pia nina uzoefu wa software kama AutoCAD, nna uzoefu wa kazi za maabara (soil, aggregate, concrete na bitumen tests), estimation na quantification na site supervision. Ni mwanamke mwenye miaka 25 na ni registered graduate engineer
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2013
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,163
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 48
  Unataka nini sasa?
  Mbona unatoa sifa zako tuu alafu usemi unachokitaka?Ebu kua kama msomi bhana,kama kujieleza unashindwa hivi hiyo kazi itakuaje?
   
 3. musangano

  musangano JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2013
  Joined: Nov 17, 2012
  Messages: 112
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 18
  Nataka kazi mimi ni civil engineer
   
 4. Root

  Root JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2013
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 16,292
  Likes Received: 1,216
  Trophy Points: 113
  Hongera
   
 5. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2013
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,163
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 48
  Sasa umeeleweka,usiwe unafumbafumba mambo kama serikali yetu bhana!
  Ngoja waje wadau watakusaidia kimwana ok?
  Nakuombea kwa muumba upate kazi isiyo na mizengwe!
   
 6. musangano

  musangano JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2013
  Joined: Nov 17, 2012
  Messages: 112
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 18
  Asanteni!
   
Loading...
Similar Threads - Civil engineer Forum Date
Employment opportunity for Civil engineer and quantity surveyor Nafasi za Kazi na Tenda Sunday at 11:13 PM
Civil engineer anatafuta kazi Nafasi za Kazi na Tenda Feb 25, 2015
Civil Engineer natafuta kazi Nafasi za Kazi na Tenda Jan 28, 2015
Kwa anayehitaji mhandisi ujenzi (Civil Engineer) Mwanza Nafasi za Kazi na Tenda Jul 17, 2014
Graduate Structural Engineer and Qualified Civil Engineer Needed Urgently Nafasi za Kazi na Tenda May 2, 2014

Share This Page