CISCO Certified?

Dah, mnatukatisha tamaa si tunaotafuta kazi ujue!!!
Sasa ndo tangazo gani hilo?
 
Yaani wewe Pihu na post zako bwana aakhhh unatukata stimu kabisa CISCO ndo nini sasa???
 
Mbona haiko wazi hataka wewe ndo HR officer basi ni balaa..maana haujaleweka?
CISCO,sawa unataka mtu wa CCNA,CCNP or CCIE?
je wa R&SS,voice,security or DATA center?
weka wazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom