Circumcision-should I do It or...

Mzee, we umeolewa au umeoa? ndo tatizo la kuoa wazungu. ungejiolea watz ungepata raha tu. ila nakupa pole. nijuavyo mimi, kitz hakuna mtu anaetakiwa kukuamulia mambo ya mtoto wako mwenyewe. wakwe zako wanahusika na nini juu ya mtoto wako? wewe ndo mwamuzi wa mwisho, na hakuna mwingine. huyo mtoto lazima atahiriwe, kama hatatahiriwa, atakuwa mchafu kishenzi, hata magonjwa siku hizi yanaambukizwa kirahisi kama mtu ana mkono wa sweta. ukiona wanakuzingua, jifanye hata kama unatembelea tz tu halafu mkate, ukirudi wafanye lolote. pole lakini, samahani kwa kusema kwa lugha ya ukali, usinichukia mkuu.
 
Wabongo wenzangu ambao mmeoa ngozi nyeupe labda mtakuwa mmekutana na tatizo hili pia. Mimi na mwenzangu tumejaaliwa kumpata mtoto wa kiume lakini naona sasa kuna clash ya culture hapa kwa kuwa wazungu wanasema its barbaric, its cruel, its inhumane, etc,etc- wakati mimi kwenye kichwa changu kuna kitu kimoja tu- a man not circumcised is not a man! what do I do wakulu bearing on mind kwamba naishi ukweni na ndugu wa mtoto mwenyewe ni wazungu na mimi hapa nilipo niko peke yangu? So far defense yangu kila ninapoulizwa-" why should we do it?", naishia tu kusema- "eeh, its a cultural issue" lakini I end up being told kwamba huyu mtoto sio lazima afuate mambo yote ya kitanzania kwa kuwa amezaliwa huku and its very likely kwamba ataishi huku maisha yake yote, what else do I say?

akikua atajua cha kufanya. mimi mwenyewe niliamua kutahiri nilipofikisha miaka 40.
 
Wabongo wenzangu ambao mmeoa ngozi nyeupe labda mtakuwa mmekutana na tatizo hili pia. Mimi na mwenzangu tumejaaliwa kumpata mtoto wa kiume lakini naona sasa kuna clash ya culture hapa kwa kuwa wazungu wanasema its barbaric, its cruel, its inhumane, etc,etc- wakati mimi kwenye kichwa changu kuna kitu kimoja tu- a man not circumcised is not a man! what do I do wakulu bearing on mind kwamba naishi ukweni na ndugu wa mtoto mwenyewe ni wazungu na mimi hapa nilipo niko peke yangu? So far defense yangu kila ninapoulizwa-" why should we do it?", naishia tu kusema- "eeh, its a cultural issue" lakini I end up being told kwamba huyu mtoto sio lazima afuate mambo yote ya kitanzania kwa kuwa amezaliwa huku and its very likely kwamba ataishi huku maisha yake yote, what else do I say?

mmh! utakuwa ujerumani wewe. au kule wanakoishi wa Armish. mwache mtoto kama alivyo. ataamua yeye baadae.
 
Nenda kamkate mtoto vinginevyo utampa
wakati mgumu atakapokuwa mkubwa.
 
Back
Top Bottom