"CIRCLE OF BRAINS" the free proxy!

Vangiporini

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
310
217
Jaman wale wadau wa ku2mia maprox ye2 yale vp hi prox ya circle of brain washa iblock nini? Mana saiv kwang haipigi mzgo wala nini na ilikuw pouwa sana
 
Circle....!!!! mbona hiyo proxy ni chai sana mtu mzima...! Tafuta proxy nyingine mkuu lakini sio hiyo mkuu. Tumia US WEB PROXY kama unataka kudownload au KPROXY kama unataka kusurf na Resume Downloads ambazo hazizidi 50mb
 
nadhani circle of brains wameiblock coz hata mimi siipati, kuhusu best proxy kwa sasa nadhani, beta version 85.31.186.21 port 80 ndo yenyewe, haina download limit, youtube kama kawa, iko spidi sana ukicompare na us web proxy na kmproxy zina limitation nyingi
 
us web proxy na ****enbored nadhani zina accept mediafire
 
:/ hata bado sijayajua haya mambo.
:(

Mkuu avartar yako inani-disturb sana, sorry lakini.

g-n-n.html.gif
 
okey pipo hzo proxy kama hyo ya usbrowers ni za free net by the way zina2mika kwenye mtandao upi?
 
Circle....!!!! mbona hiyo proxy ni chai sana mtu mzima...! Tafuta proxy nyingine mkuu lakini sio hiyo mkuu. Tumia US WEB PROXY kama unataka kudownload au KPROXY kama unataka kusurf na Resume Downloads ambazo hazizidi 50mb
Weka proxy na port zake kamanda
 
hey nimejaribu kuingia net imezingua kwenye pc nina fire fox 10.02 so nifanyaje nijaribu kuhack hzo proxy beta vision
 
nadhani circle of brains wameiblock coz hata mimi siipati, kuhusu best proxy kwa sasa nadhani, beta version 85.31.186.21 port 80 ndo yenyewe, haina download limit, youtube kama kawa, iko spidi sana ukicompare na us web proxy na kmproxy zina limitation nyingi

Naomba unieleweshe jinsi ya kuiunga. Je,naweza tumia kwenye Opera mini yeyote?
 
yep get that proxy man but how can connect on ma pc natumia fire fox 10
 
Hivi ukishaweka hizo proxy ndio unafungua 0.facebook.com au inakuwaje?
 
Vipi sasa,nimeweka Ile prox lakini nikijaribu kufungua inagoma?

hapo ishu iko ivi,km unatumia mozilla ili kutumia hizo prox inabidi kufany km ifuatavyo:
kwnz fungua tools>option>advanced>network tab>setting>manual prox>then jaza hzo prox>then mark "use this prox in all protocal" >ok>ok,hapo you are done sasa ili ku2mia connect modem yako {vodacom} then fungua browser yako af ingia 0.facebook.com af utaona sehem ya kujaza web site then weka site en enjoy.
 
guys wats up I eva uzd the proxy 196.006.012.128 and port being 8080 nliacess freenet ya voda tho laini ilipotea nackufanikwa tena.je?
Kunam2 yoyote ashatry na yeye?
 
Back
Top Bottom