Cimu za mkononi fake (simu ghushi) mwisho uciku wa leo Tarehe 30.09.2012 Kenya..

Mkuu.. Ifikapo saa sita kamili uciku wa leo.. Cimu zote fake zitakuwa phased out.. Hazitatumika tena.. Network itagundua cimu ambayo ni fake through IMEI No.. Na itaikataa kuitambua.. Kwenye projections zao wamesema celfon 2.5M ni fake na zitaondolewa.. Umenipata..?

wabongo wagumu sana kuelewa mkuu....mbona jii issue ipo tu...na watu walishapewa two monthes ya kujiandaa...
 
Bado sijakubaliana na mtoa mada, haya mkuu endelea kufurahisha Jukwaa.

hili ndo tatizo letu watanzania mpaka last point ndo tunakubaliana na hali halisi, sasa kinachokufanya usikubali ni kipi?? unaona ka haiwezekani vile??
kuna dadangu yuko Kenya jana kanambia kua kuna baadhi zimesha fungwa na kwamba hiyo 23:59 30/09 ni final tu wameanza zoezi toka masaa kadhaaa kabla
 
wakati tukishuhudia na kufurahia kwa kuwapongeza wakenya kwa maamuzi magumu waliyochukua kukabiliana na bidhaa feki, sasa ni muda wa kusikitika kwa hapa kwetu (shamba la bibi) kwani hizo hazina mahala pakwenda zaidi ya kuja kutupwa huku kwetu jalalani TZ. Na nnafikir tutakuwa na option mbili tu.
Either kuzikataa kwa kupiga marufuku kama wakenya au kunyamaza kimya kwa kubadilisha simu kama soksi tutakavyojickia.
 
Back
Top Bottom