CIF and FOB prices

Tip Master

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
490
532
Naombeni kufahamishwa kwa ufasahaa kama kuna mwana jf anaefahamu kwa uzuri tofauti kati ya FOB price na CIF price kwa maana ninampango wa kuagiza kagari used japan sasa kila nikiulizia wengine wananipa fob price na wengne cif price to Dar port in Tanzania
 
This is a global shipping terms which use in international trade. CIF means Cost Insurance and Freight. That means shipper/Trader has to pay the Cost of shipment up to the ship, Insurance cost of cargo and Freight cost up to destination port. FOB stands for Free On Board which means shipper/trader pays only costs up to the ship and Insurance cost, but freight charges is payed by the Buyer/Consignee
 
kwahiyo bora nilipe kwa cif kuliko fob in order to avoid extra price?
 
Ndiyo ukilipa CIF gari itafikishwa mpaka Dar baada ya hapo utapaswa kulipia ushuru na kodi zote za kuingiza gari nchini ambazo zinakuwa sawa na bei uliyonunulia gari.
 
Mkuu fob ni gharama za gari lenyewe likiwa huko japan(abroad)

Cif ni gharama ya gari + gharama za ushafirishaji to destination + insurance

Kwhyo angalia hilo gari na mwambie akupe CIF value
 
Hivi nikiagiza gari kwa C & F kuna ubaya wakuu? Hiyo insurance naona kama inaongeza gharama bure maana possibility ya risk wakati wa kuisafirisha ni ndogo sana au ni sheria lazima tuagize kwa CIF?
 
Hakuna ubaya unaagiza bila insurance,sema insurance sio kubwa sana haizidi USD100 kwa hiz gari zetu za saloon.
 
Hivi nikiagiza gari kwa C & F kuna ubaya wakuu? Hiyo insurance naona kama inaongeza gharama bure maana possibility ya risk wakati wa kuisafirisha ni ndogo sana au ni sheria lazima tuagize kwa CIF?
inawezekana but utakua ni ubahili usio na maana,
Utawezaje kununua Gari kwa $3,000 uje ubanie $100 ya Bima??!!
Risk ni ndogo kweli, but IPO
 
This is a global shipping terms which use in ...FOB stands for Free On Board which means shipper/trader pays only costs up to the ship and Insurance cost
Wrong, FOB does not include insurance. CIF does, come on, it's in the acronym.

Mkuu fob ni gharama za gari lenyewe likiwa huko japan(abroad)
"likiwa huko Japan" is misleadingly ambiguous. FOB ina include gharama za gari pamoja na kulitoa pale linapouziwa (kibongo bongo 'yard') kulipeleka na kulipandisha juu ya meli (boarding costs) kwenye bandari litakapoondokea.

Ukiambiwa unauziwa "likiwa Japan" mtu akishapokea $$ anaweza kukwambia haya fanya mpango uchukua mali zako hapa Kumamoto, Japan kwenye 'yard,' ulisafirishe mpaka Osaka na ulilipie boarding costs. Lakini ukilipia FOB yeye muuzaji lazima alitoe hapo 'yard' akalipandishe melini. Hizo zote ni costs and risks zinazokuwa absorbed (included) ndani ya FOB quote. Halafu from there, bandarini, wewe mnunuzi lipia usafiri na bima kwenda port of destination. That's FOB.

...means shipper/Trader has to pay the Cost of
Not quite. Really hakuna kitu ambacho dealer analipia hapa, ni wewe mnunuzi ndio utakuwa umelipia ndani quote utakayopewa and that should reflect on the relative magnitude btn FOB and CIF quotes. So let's be precise, asije akalizwa mtu halafu akasema kapata michongo JF.
 
Nimeamini kweli Jf is for great thinkers,wakuu nimeeleweshwa vizuri tofauti btn CIF and FOB prices,kuna yeyote anaweza kunijuza ni vipi nitaweza lipia gari na ni kampuni gani inayoaminika kufanya nayo biashara?
 
Kampuni ya Forwad japan inaaminika na vile vile unaweza ukatumia tradecarview kununua gari ila hakikisha unalipa ya paytrade kwa usalama wa gari lako maana kuna baadh ya makampuni pale tradecarview ni matapeli(wanigeria)
 
asante sana mkuu,kama kuna mahali nitakwama nitakupm ili uniwezeshe kufanikisha ndoto yangu
 
Nimeamini kweli Jf is for great thinkers,wakuu nimeeleweshwa vizuri tofauti btn CIF and FOB prices,kuna yeyote anaweza kunijuza ni vipi nitaweza lipia gari na ni kampuni gani inayoaminika kufanya nayo biashara?

Kampuni ziko nyingi, ila zenye kuaminika ni chache. Kuna makampuni yenye uaminifu kama vile Kobe Motor Company, Auto Link Japan n.k.. Ila ni vizuri kupata testimony kwanza kwa watu kabla hujafanya nao biashara. JF pia ni mahali pazuri pa kuuliza uhalisi au ufeki wa makapuni hayo, kwani hapa pia wanapita dealers wengi sana
 
Mkuu karibu kampuni zote kwenye website ya tradecarview ni reliable na pia kuna kulipa kupitia kwao ambapo kuna extra cost ya usd 150.00 wao wanahold money mpaka wapewe b/l na muuzaji ndio wanarelease pesa kwa muuzaji, kwani b/l is proof of goods loaded on board the vessel.
 
Kwa mfano mtu amenunua Toyota Cresta GX 100 toka Japan kwa CIF 2300 USD, CC 1980, ya mwaka 2001, itaghalimu kiasi gani mpaka itoke kwenye mageti ya bandarini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom