CIA's Records of Tanzania Government

Sasa ndio nimeelewa kwanini hata ukifungua website ya serikali ya Tanzania unaweza kukuta habari ya zaira ya rais Bush Tanzania ndiyo inablink "new"..kama hata wazungu wanashindwa ku-update zao sasa wabongo kwanini tuwashangae.
 
Watunza website walio makini huwa wanonyesha ni lini walipofanya last update kwenye websites zao. CIA wamefanya hivyo kwa kusema kuwa
hiyo inaonyesha kuwa mabadiliko yaliyotokea baada ya hapo bado hayajaingizwa kwenye website. kama unayahitaji inabidi uwasiliane nao moja kwa moja, na wameonyesha namna ya kluwacontact kwa e-mail.


Na sisi tukisoma website, ni lazima tuwe makini kuangalia kama website hiyo imeshafanyiwa update yoyote kulingana na mabadiliko ya dunia. Siyo vizuri kusema kuwa website hiyo inadanganya ilihali website inayonyesha kabisa kuwa information zile ni za zamani na wakati wanaziandika zilikuwa sahihi.


Then, what's purpose of this???

The World Factbook is a unique reference in that it is updated continuously - on average, every two weeks.Information in The Factbook is collected from - and coordinated with - a wide variety of US Government agencies, as well as from hundreds of published sources......
 
Lakini pia inawezekana wana-update information kulingna na interest zao, if you are not threat to them kwa nin wajisumbue. Isoteshe hizo information za kwenye World fact book siyo taarifa za kiinterigensia ni general infors.
 
hawa ndivyo walivyo juzijuzi tu wenzao wa FBI,wameweka picha ya mbunge wa hispania wakasema ndo Osama anavyofanana kwa sasa.
 
Hard copy ya 2009 iko very updated!


Mzee,

Nimepitia hiyo hard copy ya 2009 inapatikana pia kwenye google kupitia link:

http://books.google.co.uk/books?id=jdEgt78b0tIC&printsec=frontcover&dq=cia+world+factbook&source=bl&ots=4vSjl7ara_&sig=mzX96jj3gMoKzjo2ulqcqWbxvJg&hl=en&ei=WQhbS8O2EIP0gTv4PT0BA&sa=X&oi=book_result&ct=result&resnum=4&ved=0CBoQ6AEwAw#v=onepage&q=&f=false



Hakuna chochote "update", kwa mfano wakati Tanzania kuna utitri wa vyama vya siasa vilivyo sajiliwa rasmi yenyewe inabainisha vyama vilivyopo ni CHADEMA, CCM, CUF, TLP, NCCR , DP na UDP tu. Na kwa upande wa viongozi Bob Makani anatajwa kama bado kiongozi wa CHADEMA ( Mwenyekiti).

DP ya Mch. Mtikila inatambuliwa kuwa chama kishicho sajiliwa (unregistred party).
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom