CIA report: Israel will fall in 20 years

Whatever will happen in the future, we shall not repeat the mistakes we made in leaving Gaza.

– Shimon Peres to members of the Conference of Presidents of Major American Jewish Organizations 2/18/09

You take my water. Burn my Olive Trees. Destroy my house. Take my job. Steal my Land. Imprison my Mother. Bomb my country. Starve us all. Humiliate us all. But I am to blame: I shot a rocket back.

– Sign carried near Hyde Park Corner during a demonstration in London on 2/15/09 by a Member of the British Parliament


February 20, 2009 "Dissident Voice" -- Ain el Helwe Palestinian Refugee

Camp, Sidon, Lebanon — I

sraeli President Shimon Peres has participated in shaping the policies of Israel for most of its existence. His Washington Post op-ed last week billed as “a peacepartners prod” to the Obama administration, evidences a major disconnect within the government of Israel concerning what is urgently required for that country’s increasingly unlikely long-term survival.

According to a CIA Study currently being shown to selected staff members on the US Senate Intelligence Committee and the House Permanent Select Committee on Intelligence, Israel’s survival in its present form beyond the next 20 years is doubtful.

The Report predicts “an inexorable movement away from a two-state to a one-state solution, as the most viable model based on democratic principles of full equality that sheds the looming specter of colonial Apartheid while allowing for the return of the 1947/1948 and 1967 refugees. The latter being the precondition for sustainable peace in the region.”

See also: Fearing a One-State Solution, Israel’s President Serves Pabulum to Washington

Source: CIA Report

 
Israeli lilianzishwa kama Taifa na wanaharakati wa Kiyahudi walioko uhamishoni uingereza na Marekani.Taifa la Israeli lilianzishiwa uhamishoni kwanza.

Wayahudi waliokuweko katika biashara,siasa na maeneo ya maamuzi kwenye serikali za USA na UK ndio walioshinikiza kuweko sera ya Kuanzishwa Israel katika serikali hizo.

Kwa kuwa wayahudi walikuwa wengi na wenye uwezo kifedha,kisiasa na kiuchumi katika nchi hizo wakasikilizwa wakijua wasipowasikiliza waweza ondoa mitaji yao mikubwa na biashara zao na teknolojia zao na kutimkia sehemu nyingine.

Ukumbuke kuwa miaka ile kila nchi ilikuwa ikihaha kutafuta wafanyabiashara na matajiri wa kiyahudi walipa kodi wazuri ili watoke katika hali ngumu ya uchumi baada ya vita kuu ya dunia.Nchi nyingi ziling'ang'ania wayahudi hata warusi walikuwa wakali walikuwa hawataki wayahudi waondoke nchini kwao.Kwa taarifa yako mashindano ya silaha katika ya USA na USSR yalikuwa ni kati ya wayahudi walioko viwanda vya silaha Urusi na wale waliokuwa viwanda vya silaha USA.Hata mmarekani alipokuwa anapanga mbinu za kusambaratisha Urusi aligundua kuwa dawa ya kummaliza mrusi ni kuwaondoa wayahudi wa Urusi warudi kwao Israel.Mashirika libao yenye pesa kibao yakaundwa kuwarubuni wayahudi waondoke Urusi warudi Israel na wakapewa package nzuri za kuanza maisha.Wengi walikubali wakaacha kazi zao.Urusi ukabaki na walevi wa vodka kwenye sekta ntingi tu ikiwemo siasa.Washauri wenye akili wa kisiasa wakawa wameondoka.Kila sehemu Urusi kukawa na CHAOS sababu brain nyingi zimeondoka.Nchi ikasambaratika watu wakabaki kushangaa taifa kubwa lenye nguvu kama lile limesambaratikaje.Nafikiri unaelewa kuwa hata ukomunisti ulikuwa sera ya Urusi mwanzilishi wake alikuwa ni myahudi KARL MARX.Kwa hiyo wayahudi kuondoka lilikuwa pigo kuu kwa USSR.

hIVYO Uingereza na Marekani ndio zikaona zijikombe zaidi ili wawaone bora zaidi wayahudi wapende UK na USA kuliko nchi nyingine duniani wakaone wawasaidie hiyo package ya kuanzisha taifa lakini move yote iliendeshwa na wayahudi wenyewe ndani ya serikali za USA na UK.Serikali zilikuwa rubber stamp tu kama ambavyo serikali imekuwa rubber stamp tu kwenye mikataba ya Richmond na Dowans.Serikali kazi yake inakuwa kuchonga mihuri na kununua vidau vya wino wakati mafisadi ndio wanaanda kila kitu hadi mikataba halafu wanailetea serikali ya watu kama ngeleja wamgonge mihuri.

Sababu mojawapo kubwa ya kuanzishwa kwa taifa la Israel ni HOLOCAUST...Fuatilia Historia.
 
Israel ni taifa teule la MUNGU, kwahiyo halitakaa lisambaratike hata siku moja mpka mwisho wa dunia. MUNGU ndo everything kwao na sote twajua hakuna lisilowezekana kwa MUNGU. Mafanikio mengi waliyo nayo Wamarekani leo ni kwa sababu ya urafiki wao mzuri na Israel. Kama Wamarekani wakiamua kuitosa Israel, MUNGU ajua namna ya kuwalisha (Waisrael ) na huo ndo utakuwa mwisho wa Marekani kuwa super power.
 
hizo ni ndoto za alinacha, mtalala milango wazi kwa kuamini ndoto za mlevi mmoja wa cia. Israel haitakuja ianguke hata siku moja, na ikianguka basi ndo mwisho wa dunia. kwa kifupi, kama ni kweli watu wanatabiri hivo, basi miaka hiyo wanayotabiri ndo mwisho wa dunia..hata kama hatuijui siku. ila kwa kifupi naomba niwaambie na kuwahakikishia, ISRAEL HAITAKUJA IANGUKE HATA SIKU MOJA, INAZIDI KUNENEPA, itazidi kuchikua maeneo ambayo walipewa na Mungu, na waarabu watazidi kushindwa. hizo ni silaha tu za maadui wa israel, silaha za manano ili kuwatetemesha, watu wale hawatatetemeshwa kwasababu wanalindwa sio na marekani au mwanadamu, wanalindwa na Mungu. na yeyote anayemlaani Israel analaaniwa hata leo hivi, na yeyote anayembariki israel anabarikiwa hata leo hivi. Marekani imebarikiwa kwasababu ya kuwabariki Israel kwa mali zao. na kwasasa ambapo Obama ameingia akijaribu kuwa mbali na baraka(israel), basi marekani itameguka vipande vipande, na tutashuhudia ukweli wa maneno ya Mungu waziwazi. kizuri ni kwamba, pamoja na kwamba wewe utasema kuna watu wameanza kuhoji uhusiano kati ya marekani na israel, hao ni watu wachache, na wengi wao ni mashoga na wasagaji, na waislam ambao ni asilimia ndogo sana ya watu. kuna watu kule marekani hasa ma evangelists ambao ni wengi sana baada ya wakatoliki, wako tayari hata kujilipua kwaajili ya waisrael. hivyo, hata kama obama atafanya nini, lazima tu atalazimishwa na mataikuni wa kilokole na kiyahudi kule marekani aendeleza sera zilezile kwa israel. hata hivyo, usije ukafikiri marekani ikitetereka itakuwa haina uwezo kuisaidia israel, itapunguza misaada na tz lakini sio na israel, kwasababu wamegundua siri kuwa kuishikilia israel ni kuishikilia baraka.

mataifa yanayoipiga vita israel kama vile Russia(ambayo imetoa sana silaha kwa misri na mataifa ya waarabu kuipiga israel) wameshaporomoka na sio federation kama zamani. waarabu ndo wanagombana hata wao kwa wao kidini, wamelaaniwa na siku zote wanaishi kwa sumu ya hasira mioyoni mwao, hawana amani wala furaha hata kama israel haijafanya kitu. ni kwasababu wamelaaniwa kwa kuilaani israel. israel hata uilaani ni taifa la Mungu halita laaniwa. wewe ndo utalaaniwa. habarindo hiyo.
Marekani imebarikiwa kwa sababu inawaunga mkono Israeli? Hivi maana ya baraka au kubarikiwa ni nini? Kuwa tajiri hata kama unaiba au kudhulumu wengine ni baraka? Kutumia nguvu za kijeshi kuua watu wasio na hatia na hata kuwa polisi wa dunia ni baraka hizo? Tusemeje basi kuporomoka kwa uchumi kwa nchi iliyobarikiwa? Madorf yule Myahudi alihesabiwa mvua 150 tuseme alibarikiwa kwa sababu alikuwa na fedha nyingi alizowaibia Wayahudi wenzake? Nasita kukubali theologia nyepesi kwamba mtu akiwa maskini basi amelaaniwa hata kama amenyonywa na kuibiwa, na kwamba kila anayeonekana kuwa navyo vingi basi amebarikiwa hata kama amewaibia na kuwanyonya wengine.
 
Last edited:
Umesema kweli kabisa. Israel inaitegemea sana US kwa mapesa wanayopewa kila mwaka zaidi ya $3 billion na pia Wamarekani wengi wameanza kuhoji mambo mbali mbali kuhusu Israel ambayo miaka ya nyuma walikuwa hawayahoji. Na mwaka huu kutokana na hali mbaya ya kiuchumi ya Marekani naona pesa hizo zitatolewa kimya kimya na pia zinaweza kupunguzwa. Na kama info ikivuja kwamba wamepewa tena mapesa chungu nzima basi kutakuwa na mjadala mkubwa wa uhalali wa kufanya hivyo huku mamilioni ya Wamarekani wakiwa katika hali mbaya ya kiuchumi.

Hmmm, Uchumi wa Israel ni wa ngapi kwa ukubwa duniani? Hizo billion 3 wanazopewa kila mwaka ni kwa ajili ya defense walisign contract mwaka jana na ni contract ya miaka 10.
 
Israel ni taifa teule la MUNGU, kwahiyo halitakaa lisambaratike hata siku moja mpka mwisho wa dunia. MUNGU ndo everything kwao na sote twajua hakuna lisilowezekana kwa MUNGU. Mafanikio mengi waliyo nayo Wamarekani leo ni kwa sababu ya urafiki wao mzuri na Israel. Kama Wamarekani wakiamua kuitosa Israel, MUNGU ajua namna ya kuwalisha (Waisrael ) na huo ndo utakuwa mwisho wa Marekani kuwa super power.

Eeeh! Kumbe... eeeh! Mi nilifikiria taifa teule lililo mkiri na kumkubali yesu kuwa ndio mwokozi wao... kumbe kwa mujibu wa ukikristo ukiwa myahudi huna haja ya kuwa mkiristo... U'super power wa kuuwa wasio na hatia...lol eti na mungu anaukubali...lol! Maskini Red Indians native Americans... Hakuna wa kuwatetea na dhurma na uonevu mliofanyiwa... Marekani imekwenda kuwakumbatia taifa teule la mungu ili kufutiwa madhambi... yuk!
 
teh. teh. teh

hapa watu wengine wanachangia kiimani imani. matokeo yake wanafumbia macho mambo ya ovyo ya wazi wazi na badala yake wanakuwa bize kikweli kweli kusifia tu. kama vile hawaoni. kama vile hawasikii. kama vile hawasomi kwenye vyombo vya habari.

sisi binadamu ni dhaifu sana. na ni wabinafsi sana. lakin naamini kabisa dunia inaweza kuwa sehemu salama zaid ya kuishi kwa kila binadamu - awe mweusi, mzungu, mwarabu, mhind, mchina etc. bila kuwa na ulazima wa kuua, kudhulumu binadam wengine. kwasababu huo ni ufisad kwa binadamu
waungaji mkono ufisad dhidi ya binadam siwez kushangaa kusikia wanawaona kama mashujaa watuhumiwa wetu wa ufisad hapa tz

iam calling for peace every where
 
Baada ya kusoma posts nyingi zinazochangiwa kuhusu Israel, naona kuna mchanganyiko (confusion) mkubwa kuhusu dhana ya neno Israel. Kutokana na kuelewa kwangu kwa posts nyingi ni kuwa kuna baadhi ya watu kutokana na imani zao, hawawezi kutenganisha Israel ya Biblia (taifa/watu) na Israel kama serikali (government/administration). Hivyo ni vitu viwili tofauti. Kwa ufahamisho tu ni kwamba hata wale Wayahudi wenye siasa kali (ultra orthodox Jews) hawakubaliani na wala kuitambua serikali ya Israel na mfumo wake kama ilivyo sasa kuwa inawakilisha taifa la Israel. Middle East Online
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom