Revolutionary
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 456
- 86
Ndugu watanganyika na Zanzibar, nimeshtushwa sana na hili ingawa nilishawahi kulisikia sikia kuhusu muungano huu wa Tanganyika na Zanzibar.
Suala la utata na legitimacy ya muungano huu ni tete sana, tunafichwa.
CIA ndio walioENGENEER MUUNGANO na HAIKUA CHAGUO LA WATANGANYIKA WALA WAZANZIBAR. Soma hapa chini.....
The Zanzibar Revolution took place in 1964 – an uprising led by a number of political forces which the Umma Party was able to partially transform into a socialist revolution. For the U.S., Zanzibar was now the ‘Cuba of Africa' from which communism would spread across the continent, and there followed a period of intense CIA activity. Only four months after the Revolution, the U.S. succeeded in engineering a union between Tanganyika and Zanzibar (to form Tanzania) which effectively crushed the progressive potential of the revolution and `neutralised' Zanzibar.
Hii ni sehemu ya habari kamili ambayo ipo hapa;
Babu, a committed Zanzibari communist? « Zanzibar Daima
TUSIFANYWE WAJINGA SIKU ZOTE, TUTAFAKARI NA KUCHUKUA HATUA!