CHURA: JKT Taarab walitisha sana enzi hizo !

Mkuu thanks sana....we shusha link hapa ...mie nshasusha zote nasikiliza taratibu....na grants pembeni...

Mkuu usijali mimi nawaahidi kuwa ntawatumia links zaidi lakini si unajua tena nazi-convert, then nazi-upload ili niweze kushare na nyie wadau - hivyo muwe na subira kidogo ila asilimia kubwa ya nyimbo ntawapandishia na kuwapa links hapa

Stay Tuned!
 
hizi ndio taarab zenye akili, nyepenyepe hawawezi kuzicheza

Waambie Mkuu! Hadija Kopa na mwenzake Mzee Yusufu wametuchakachulia hadi Taarab. Nani kasema eti kwenye Taarab kuna eti Mipasho? Au eti Modern Taarab?. Long live traditional Taarab
 
Mkuu usijali mimi nawaahidi kuwa ntawatumia links zaidi lakini si unajua tena nazi-convert, then nazi-upload ili niweze kushare na nyie wadau - hivyo muwe na subira kidogo ila asilimia kubwa ya nyimbo ntawapandishia na kuwapa links hapa

Stay Tuned!
Mkuu kama unayo ile taarabu Ya Laiti original version ya Bi Kidude itakuwa powa zaidi
Much respect
 
Mkuu kama unayo ile taarabu Ya Laiti original version ya Bi Kidude itakuwa powa zaidi
Much respect

Mkuu paulss,

Najitahidi kuzi-convert na kila nikimaliza moja na-upload na ntawapa links hapa hapa - ila nyingi nzuri za zamani utazipata hapa hapa
 
Waambie Mkuu! Hadija Kopa na mwenzake Mzee Yusufu wametuchakachulia hadi Taarab. Nani kasema eti kwenye Taarab kuna eti Mipasho? Au eti Modern Taarab?. Long live traditional Taarab

Taarabu wana rap hizi masiku...wanacheza na kiduku....wanachakachua ata asili yaani kila kitu vurugu tu hii nchi...
 
Huu ni mmoja wa nyimbo za Taarab nizipendazo. Nyingine ni Njiwa peleka salamu, Macho yanacheka moyo unalia, Kifo cha Mahaba, Sabalkheri mpenzi, Nahodha wa mashua, Nyuki, Mahaba ya dhati, Nimezama etc.

Mkuu 3D

Audio clips za nyimbo zote ulizozitaja hapo juu tayari zipo hapa jamvini - unaweza ukazipitia na ku-download
 
Got them.JPG
Got them all....gonna make a CD...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom