Chupuchupu kutolewa 'uvivu' na my blood mjomba

Marytina marytina.
Masai atakuua akijua hii makitu.
Au unamwonea coz ni mpole na mlokole?
 
asante
mimi sio type hizi ndio maana sharobaro hapewi hata namba ya simu

dah, mwanamke una vituko weye, lol..
ila napenda unavyotoa mawazo yako tofauti hapa,
kwani natambua kabisa duniani wapo watu wenye kariba kama yako,
na wewe ndo unawawakilisha hapa,
Keep it up!!!!!!!!
 
uongo huo
my bf ni Mmasai kwa kabila
nadhani unajua wanavitai kwenye mguu wa tatu vinavyokoleza game.
Uliza Mmasai anakuwaje (kwenye mguu wa tatu utaambiwa)


Merytina, vitai ndo nini?
au ndo govinda?
Huu uzee nao, hata lugha za vijana zinatupiga chenga sasa!!!!!!
 
dah, mwanamke una vituko weye, lol..
ila napenda unavyotoa mawazo yako tofauti hapa,
kwani natambua kabisa duniani wapo watu wenye kariba kama yako,
na wewe ndo unawawakilisha hapa,
Keep it up!!!!!!!!

ni wanafiki tu hawana ujasiri wa kueleza ukweli.
Kiukweli UNCLE ni mchicha mzuri ila umeota chooni so siwezi ula.
 
Is that the reason why unawazibia rafiki zako wanaotaka uwaunganishe? Froma your post, nimeshindwa kuelewa shida yako ni nini, ushauri au u want him to remain single kwenye maisha yake yote ili uendelee kunusa gari lake or what. Sis, I thought u said you have a BF? Sasa why is this uncle thing bothering you?
 
Back
Top Bottom