Chupuchupu kutolewa 'uvivu' na my blood mjomba

Mimi mjomba wako nitahuzunika sana kama unanipenda kwa ajili ya kufanya mapenzi na mimi! Hiyo ni laana kubwa sana. Kama unavyofahamu niko single, so si vibaya nikipata contacts za marafiki zako maana mke si kitu kibaya.

Mungu akubariki
 
it has happened naturally
Yeye mwenyewe huning'ang'ania nimsindikize huku na kule jioni so tuna AGAPE KUBWA

Kwa lengo la hii thredi yako ni malalamiko ya agape iliyo kati yako na mjombako........
 
Sikujua kama Malaria Sugu ni Uncle wako wa damu!
mchungaji tueshimiane
ntatafuta kanisa jingine incase

Ni bora nitembee kwa miguu kutoka mwenge to posta kuliko kupanda daladala mmoja na Malaria Sugu.
I will choose to live only 2 years rather than kuishi 10years ghorofa mmoja na Malaria Sugu
 
Huenda MS anahitaji penzi lako!
 
Sikujua kama Malaria Sugu ni Uncle wako wa damu!
pls mchungaji tuheshimiane
ntatafuta kanisa jingine incase

I will choose to tembea kwa miguu mpaka posta rather than kupanda daladala mmoja na Malaria sugu
I will choose to day in next years to comme rather than living 10 years nikiwa jirani wa malaria sugu
 
Ndiyo zinazo kuvutia...! Unamtamani uncle wako...! Na ili halikubaliki kwani kuwa Baba Mngoni na Mama mchaga alikufanyi umtamani mjomba wako.

Kama unajua kuna tatizo la hormones (Physiology=how the body works)MBONA UNANISHANGAA?
Ni kweli it can be hormone zake ndio zinazonivuta ila sio kufanya mapenzi
 
hahahahaa, so ulivosikia wanasema binamu nyama ya hamu nawe ukataka uanzishe yako ya 'uncle damu tamu' eeh?
utani mwingine utadhania kweli
ukumbike mimi nlikuwa mdogo yeye mkubwa so lawama zingeenda kwake
 
pole kaschana. Mchicha umeota chooni sio. Kuula unaonakazi sio??? Pole bibie. What u can do is jus to tell the self of urs that "this is ma uncle" if u drink him means u r drinking ur own parents. Ila wachaga ndo tabia zenu kutamani ndugu, hivo hujapotea bado.
 
Mimi mjomba wako nitahuzunika sana kama unanipenda kwa ajili ya kufanya mapenzi na mimi! Hiyo ni laana kubwa sana. Kama unavyofahamu niko single, so si vibaya nikipata contacts za marafiki zako maana mke si kitu kibaya.

Mungu akubariki
my uncle doesnt sound like this
 
mh! halafu unajisifia una b/f unayemuheshimu huku unamnyemelea mjomba wako duh UNAHITAJI MAOMBI YA NGUVU SAAANA.
 
does he sound like this?

Haya tukutane hoteli tufanye mapenzi?
Au nakupenda kimapenzi pia?
Au mtoto mzuri umeumbika?

Kumbuka ni Engineer, domo zege, MchaMungu,,,,
kidogo, kidogo unaanza kunitukana
 
mh! halafu unajisifia una b/f unayemuheshimu huku unamnyemelea mjomba wako duh UNAHITAJI MAOMBI YA NGUVU SAAANA.

AGAPE LUV sio sexylove.
uncle anapendwa kiagape zaidi, Bf anapendwa na kupewe haki yake
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom