Chupuchupu kutolewa 'uvivu' na my blood mjomba

Home: Geneva of Africa
Mama -chagga, baba Mngoni

Nina wajomba wanne.
The last one 'uncle 4' is very handsome, a civil engineer, mcha mungu, mwoga wa wabinti-yaani domo zege sana.
Marafiki zangu (Mashosti) wananiomba niwape Access /unganishie ila sitaki as najua wapenzi wa kwanza hawaoani so staki lawama.

Kuna wakati niliwahi mzimia when i was form two hadi leo napogombana na BF wangu the first one to call (not kumweleza mzozo wangu na BF) just to hear his sauti ni yeye.

I always ask his car (BF wangu anapokuwa safarini) nakwenda nje ya mji huko najifungia ndani ya gari najilaza na mziki taratibu + shombo/harafu yake kwenye gari HUNIFANYA nihisi paradiso

Strictly:Simaanishi natamani game naye.

Merytina

It sounds like the underlying reason for you not hooking your friends up with
uncle with the "mostest'' is nothing but the fact that you, yourself are crushing over him! Du ila this is new!
 
Naona hapo bloody relation utaiweka kando. What hapened f2?

i told you nilikuwa sijawahi kwa hiyo tukasumbuana weeeeeeeee mara mlango wa next room ukafunguliwa kelele zake zikatuogopesha .

ila mbona nyie munakula mabinamu zenu hamushangai ila merytina tu????
 
Merytina

It sounds like the underlying reason for you not hooking your friends with
uncle with the "mostest'' is nothing but the fact that you, yourself are crushing over him! Du ila this is new!
Nemo ngoja niongeze hapa chini kama msisitizo,

Uporoto LIKES this post and THANKS Nemo for this useful post.
 
Home: Geneva of Africa
Mama -chagga, baba Mngoni

Nina wajomba wanne.
The last one 'uncle 4' is very handsome, a civil engineer, mcha mungu, mwoga wa wabinti-yaani domo zege sana.
Marafiki zangu (Mashosti) wananiomba niwape Access /unganishie ila sitaki as najua wapenzi wa kwanza hawaoani so staki lawama.

Kuna wakati niliwahi mzimia when i was form two hadi leo napogombana na BF wangu the first one to call (not kumweleza mzozo wangu na BF) just to hear his sauti ni yeye.

I always ask his car (BF wangu anapokuwa safarini) nakwenda nje ya mji huko najifungia ndani ya gari najilaza na mziki taratibu + shombo/harafu yake kwenye gari HUNIFANYA nihisi paradiso

Strictly:Simaanishi natamani game naye.

Human Sex Pheromones are natural chemical scents (shombo/harafu) the body produces in order to attract others... They call it scent of love.
 
i told you nilikuwa sijawahi kwa hiyo tukasumbuana weeeeeeeee mara mlango wa next room ukafunguliwa kelele zake zikatuogopesha .

ila mbona nyie munakula mabinamu zenu hamushangai ila merytina tu????

Dah, my goodness, na huku umepita? Wewe ni noumer!
 
Merytina

It sounds like the underlying reason for you not hooking your friends up with
uncle with the "mostest'' is nothing but the fact that you, yourself are crushing over him! Du ila this is new!
No dear!
My uncle ni mpole mgeni kwenye luv affairs
Nikimpa shosti yangu akimchanganya nitajutia sana.
Atampata mwezie huko ila nisipomkubali naapa kuwaachanisha
 
Human Sex Pheromones are natural chemical scents (shombo/harafu) the body produces in order to attract others... They call it scent of love.
so what is the rltnship with ukaribu wangu na uncle hapa.
kwani office mate hawana hizo hormones????????????
 
Ndiyo zinazo kuvutia...! Unamtamani uncle wako...! Na ili halikubaliki kwani kuwa Baba Mngoni na Mama mchaga alikufanyi umtamani mjomba wako.
 
umesahau mnasemaga binamu nyama ya hamu??
sijapitia huko
only wawili tu in my life na sitegemei zaidi

hahahahaa, so ulivosikia wanasema binamu nyama ya hamu nawe ukataka uanzishe yako ya 'uncle damu tamu' eeh?
 
Unamtamani uncle wako alafu unasema sio kimapenzi...! Sasa unamtamani kivipi?

it has happened naturally
Yeye mwenyewe huning'ang'ania nimsindikize huku na kule jioni so tuna AGAPE KUBWA
 
Back
Top Bottom