chupi na socksi nani mkali?

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,050
361
hapo zamani za kale kulitokea ubishani wa muda mrefu kati ya chupi na socksi nani anapambana na harufu kali,ubishani ulikuwa mkali hadi wakapigana na kuumizana ,eti wanajf hebu tuwaamulie kati ya hawa nani anapaswa kuvishwa crown ya ushindi?
 
Socks hapati harufu yeye anapata marashi!chupi MP yeye!Chupi wakimaliza kuduh!yeye,Chupi mikojo Yeye!Chupi Mishuzi yeye!!Sasa nimekupa marks zigawe kwa unayeona ninani anapata harufu kali.
 
Socks hapati harufu yeye anapata marashi!chupi MP yeye!Chupi wakimaliza kuduh!yeye,Chupi mikojo Yeye!Chupi Mishuzi yeye!!Sasa nimekupa marks zigawe kwa unayeona ninani anapata harufu kali.

Duh ,ni noumah jamaa hadi muda huu nampa marks 5 chupi,na soksi ana 2 haya haya twende na ushindani ....
 
Mbegu, uteute, ushuzi na mavi vyote vya chupi. Sasa huyo ana mshindani kweli!! Acheni utani jamani.
 
socks hapati harufu yeye anapata marashi!chupi mp yeye!chupi wakimaliza kuduh!yeye,chupi mikojo yeye!chupi mishuzi yeye!!sasa nimekupa marks zigawe kwa unayeona ninani anapata harufu kali.

lol
 
Pamoja na mauchafu yote... chupi hufuliwa kila siku, soksi mtu hupiga hadi wiki.
 
Pamoja na mauchafu yote... chupi hufuliwa kila siku, soksi mtu hupiga hadi wiki.

Tumuongezee marks chupi au tumpunguzie ,haya haya namuona socksi anakuja kwa kasi ya ajabu .,
 
Jamani chupi Ana teseka sana.

haya haya bwana mkubwa mzee socksi anapokea pointi kumzaidi na mpambano unaendelea,haya haya mchezo mtaaaaaaamu,wapenzi mashabiki mchezo ni mkali kwei kwei
 
Du maksi zangu muongezee chupi kwani asilimia 80 wanaume hawavai soksi na 99%wanawake hawavai soksi ni chupi mtindo mmoja anaumia
 
Du maksi zangu muongezee chupi kwani asilimia 80 wanaume hawavai soksi na 99%wanawake hawavai soksi ni chupi mtindo mmoja anaumia

haya haya mashabiki ,chuupi chuuupi chupi chuuupi,mchezo ni half time .,
 
Kinadharia chupi anashavu kubwa la uchafu ila soksi zikivuliwa kama miguu inatoa halufu au hazijafuliwa kitambo mbona watu hawakai. Mie naona soksi ni noma!
 
haya haya socksi anaendelea kuja kwa kasi ,haya haya haya anakuja anakuja ,tutaonana nani bingwa,haya waungwanna mpira dk 90,ngoja tusikize nani bingwa
 
Soksi jamani!! Anakanyagwa wee mpaka anatoboka..chupi anadekezwa sana.akipata puncture kidogo tu..anaekwa kando..chupi ndio kapewa umuhimu zaidi ya mpiga chabo.yani ye ndo wakwanza kushuhudia mkianza kungonoana soksi anavuliwa na kuachwa mlangoni kama askari..duh soksi anateseka.mpe pnt zangu banaaa!
 
Pamoja na mauchafu yote... chupi hufuliwa kila siku, soksi mtu hupiga hadi wiki.

Weeeee!!! Acha Bwana!!!, eti soksi mtu apiga wiki?, siku ya pili tu, ikivuliwa hapakai mtu.........
 
mi naona mkali ni chupi kwa baada ya uchafu wote yeye hufuliwa ,lakini soksi hata kufuliwa aka isipokuwa hulaaniwa kwa kutupwa kwenye harufu mbaya (msalani)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom