Chupi imeleta kizaazaa

Mbembeleze mkeo asiende nyumbani; aking'ang'ania sana sana kwenda mwache aende. Nadhani hiyo itamsaidia kujua infi au smali hausi ni nini.
 
mkuu fanya kweli kabisa ujue moja na kama lawama bas zije huku umefanya kwel kuliko kupatA lawama wakat mzgo ujala
Dah! Haya itabidi niongee naye ili niweke jiwe la msingi. Nalog off
 
mkuu hujawaza kabisa....mke wako alipokukuta na hiyo chupi ungemwambia ni chupi yangu.
Mkuu ni G-string sasa ningemuambia ni yangu basi angejua watu washaanza kuni Cameron. Mie nimemuambia ukweli, ndio yamenikuta haya.

Nalog off
 
nasikitika kukujulisha kuwa wewe na mkeo na huyo mpangaji mwenzako, woote ni mazuzu magic.
Let the chupi rest in peace, kaihifadhi sandukuni mwako, mkeo akirudi umwambie ulikuwa ukiiombea hiyo chupi ya huyo mpangaji mwenyewe ili pepo wa mitego amtoke, na kimashine cha kuburudisha MBOZI cha mdada huyi kizibe kabisa.
Usisikitike wala nini ndio ukweli wenyewe huo,ila kwa kuwa mie sio mpenzi wa dini nitaipeleka chu piikaombewe ktk nyumba ya ibada.

Nalog off
 
Songíto;2783178 said:
Mimi ninakubaliana na wewe asilimia mia moja kuwa hujatembea na huyo dada...hilo ninaamini toka moyoni, lakini kiuhalisia huko mnapoendelea mbeleni na hasa kama mkeo asingekuwa anapiga kelele ungetembea nae tu.

Mkuu ukiingia kwenye ndoa unaanza maisha mapya, inawezekana huko nyuma ulikuwa na njia zako za kuishi ila ukiwa katika ndoa kama hizi njia za maisha yako ya nyuma zinamkera mwenzio huna budi kuacha... ukiwa katika ndoa lazima ukubari kupoteza vitu flan na mambo flan flan ambayo ulikuwa unayapanda lakini mwenzio sasa anayaona ni kikwazo.

Mkeo amesahonyesha kuwa anawasiwasi na huyo dada, kinachokufanya uwe nae karibu ni nini? ni nini utakosa ukiwa nae mbali mkawa mnasalimiana tu? sasa kung'ang'ania kwako kuwa nae karibu ndio kutimiza hayo ya hapo juu, bado unang'ang'ania maisha ya zamani ambayo ni kikwazo kwa umpendaye? kwa maana nyingine upo tayari mkeo akereke huku wewe na huyo mdada mkiendeleza ukaribu mlionao...hapa hutendi haki kaka, na ndo maana nlitanguliza kusema hujatembea nae ila huko mbeleni inawezekana mkadoo...kama hamna hilo wazo kwako kwa nini kumng'ang'ania?

Acha hizo kama, angalia ndoa yako..makapi yasiyo na msingi ambayo yanaharibu umbo la ndoa lako yapepete.. achana na huyo dada, acha ukaribu nae.. muwe mnasalimiana tu then uone kama hilo zogo litaendelea...

"MWANAUME MPUMBAVU HUVUNJA NDOA KWA MIKONO YAKE MWENYEWE"
Nashukuru kwa ushauri wako chanya mkuu, nitabadilika haraka iwezekanavyo.

Nalog off
 
sasa fanya kweli kabisa maana hapo utakosa vyote...wife na huyo mpangaji mpya. pole lkn wa kufua chupi ya asiye kuhusu. wife wako huwa unamfuluia lkn?
My wife namfulia samtaimu,ila mtaka yote hukosa yote. Nalog off
 
hiyo imekaa kikomedi hivi hyo bafu haikuwa na mlango mpaka mkeo anakuja direct then ww hata hukuhc kama mtu anakuja maana chupi ya kike mtu akiona umeishika unakuelewa vingine
Ni mawazo yako,una uhuru wa kufikiria hivyo,mlango haufungi,ukiingia unausindika na pia ni njia ya ya kwenda kwenye sink la kuoshea vyombo. Nalog off
 
Kuna maswali kadhaa yanahitaji ufafanuzi:
1.Ulijuaje ile chupi ni ya nani kama nyumba ni ya kupanga na lazima kuna wanawake kadhaa ?
2. Mkeo aliingiaje toilet kwani hamna mlango ? au ni zile za kuning'inia gunia ?
3.Mkeo aliwezaje kuihusisha chupi ile na yule mpangaji haraka hivyo ikiwa mkononi kwako imeloa/kunjika ?
1.Kwa sasa yuko peke yake,mpangaji mwenzangu mwengine my wife wake kasafiri. 2.mlango upo wa mbao ila haufungi ukitaka kujisaidia unausindika tu.3.yuko peke yake kwa sasa. Nalog off
 
nawe kweli WASHAWASHA mana una kisebu sebu hiyo chupi uliishika ya nini??????????
Ilianguka ktk yale maji yaliyokuwa yakitiririka baada ya kujimwagia mwilini mwangu,kwahiyo nikaona ni vyema nikiisuuza na kuirudisha pale ilipokuwa. Nalog off
 
Mi namshauri huyo mkeo asirudi kuishi tena na wewe maana 100% unaonekana sio mwaminifu ulishaonywa mara kibao ila still unajidai kuonyesha upendo kwa mwanamke baki wakati kwa mkeo hujawahi kuuonyesha.. kwa hali hii Wanaume tutaendelea kushika namba 1 ya kucheat. Na Login
Nampenda sana my wife wangu jamani,msiniombee hayo. Nalog off
 
Back
Top Bottom