Chupi imeleta kizaazaa

Uwanaume sio Ku Log off, hata mie nisingekuelewa kushika chupi ya mwanamke mwingine, ulichokosea ni kuingia kuoga huku ukiiangalia chupi ya jirani yako ni bora ulipoingia na kuiona ungemwambia mkeo lakini unajitia baba huruma unajua kulea wakati hata chupi ya mwanao uikute na mikojo unashindwa hata kuisogeza nini kuisuuza
 
Mkuu mchukue huyo mpangaji mwenzako maana hata yeye ana papuchi huenda ikawa tamu kuliko huyo mke wako anaezingua!
 
Mkuu ulijiweka matatizoni wewe mwenyewe. Kuokota chupi ya mwanamke ambaye huna uhusiano naye na kuisuuza, tena kwa maji ambayo utaendelea kuyaoga? Hiyo nadhani ni ngumu sana kueleweka.
 
Mkuu ile chu pi alianguka katika yale maji yaliyokuwa yakitiririka nilipokuwa nikioga,NIKAONA, sio ustaarabu kuiacha katika maji yale.Nalog off

Loo, unasema uliona si ustaarabu? Ni ustaarabu gani huo kufua chupi za watu usiohusiana nao? Jambo hili Angefanya huyo mkeo kwa utetezi kama huo ungejisikiaje?
Hii mada isingeingia JF.
Mkuu ile chu pi alianguka katika yale maji yaliyokuwa yakitiririka nilipokuwa nikioga,nikaona sio ustaarabu kuiacha katika maji yale.Nalog off
 
Loo, unasema uliona si ustaarabu? Ni ustaarabu gani huo kufua chupi za watu usiohusiana nao? Jambo hili Angefanya huyo mkeo kwa utetezi kama huo ungejisikiaje?
Hii mada isingeingia JF.
Mie niliisuuza baada ya kuidondosha kwa bahati mbaya..
Nalog off
 
Mkuu ulijiweka matatizoni wewe mwenyewe. Kuokota chupi ya mwanamke ambaye huna uhusiano naye na kuisuuza, tena kwa maji ambayo utaendelea kuyaoga? Hiyo nadhani ni ngumu sana kueleweka.
Niliamua kuonesha ustaarabu wangu
Nalog off
 
Back
Top Bottom