Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,844
- Thread starter
- #81
I normally don't argue, ila the way ninavyo cross examine na ku probe watu nimegundua hawapendi. Ukinisimulia kitu inakuwa ngumu kutikisa kichwa bila kutaka kujua material facts.
Mfano kuna dada alikuwa anasimulia darasani kuwa yeye ana mapenzi ya hali ya juu na kazi yake (ni program coordinator wa NGO moja huko Guantemala). Wakati wenzie tunatafakari ni jinsi gani wafanyakazi wa NGOs wanaweza ku get poor people involved into their projects kwa kuwa in most cases they are not interested to, yeye akaja na story jinsi anavyofanya kazi hata kama watu watano tu wata turn up into her project ili mradi anajua with time wengine watavutiwa. Watu wakawa wanamsikiliza kwa umakini mkubwa. Mimi nikajikuta nachombeza kabla hajamaliza kusimulia "but you get your salary". Wacha akasirike, japo alijibu wakati mwingine silipwi huwa na volunteer lakini nilimuona kawa mdogo nikajisikia vibaya sana.
ha ha ha, wewe hizo negatives zako ni balaa!
Basi bana, usije nikwaza na mie hapa. LOL!
Namhurumia sana Mumeo, mheshimu sana huyo baba...anavumilia sana maskini....ha ha hhhaa!