Chupa mpya, mvinyo ule ule...(?)

eh........usijenfanya nikachukiwa bure..............

Afu huyo MJ (Michael Jackson) kwenye signature yako ..........Kwa nini hakuongezea One huko mbele lol

Hehehehehe umeona eeh! hahahahah mie sitii neno MJ1 :)
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
bibi na babu hawajakosana wanastahili haki zao halafu ugomvi uendelee kati ya bibie na babuu!!..tutadoo vizuri na nitafurahi vizuri ila asidhani yameisha, nitamkumbushia baadae kuwa ulikosea vile na vile..kwahiyo jirekebishe!!..ila bibi sibanii, tena kwa raha zake anamhitaji babu!!..
Haaa haaa BJ bana! umenifurahisha sana hapo,
 
Mbu mie nina tabia moja.......sijui kama ni mbaya au vipi........nikikosewa na kama hujayarekebisha, huwa nina'mute' mpaka kwa bibi...........yaani hata unitekenye vije 'bibi sijamfungua' na si kwamba nafanya kukomoa la hasha....... hata nikisema nimfungue 'bibi' hupata maumivu makali (nadhani ni psychological effects)........!!!

Huwa ninaamini kuwa kuna connection kati ya "bibi" na hisia. lol .......but huwa niko flexible nikiona umekaza buti (hutaki kuzungumzia lililotokea) huwa ninachukulia kuwa kwa wewe kutaka 'bibi' (Hapa kama umekosea yaani hata mwezi nitasubiri........sianzi wala kuchokozai!!) ni ishara ya wewe kutaka suluhu......sasa ole wako nimpe ruhsa 'bibi' halafu kesho we uendeleza mnuno..................ah sahau
MJ1 confession yako imenichekesha sana but ni nzuri sana kwasababu hiyo ni hali ya kawaida kwa wanawake wengi from what i know,
 
...ha ha ha! ati geuka huku,...kwani ni rigwaride hilo?

Mwj1, kwakweli kwenye masuala ya kazi napingana vibaya sana na anayekushawishi eti ubadili kazi kwa ajili yake, Unless itakulazimu uhame nchi...na huko uendako una uhakika wa kupata ajira inayokidhi mahitaji yako. Lower self esteem ndio inamfanya mtu aanze kukwambia Oohh, kazi hiyo mimi siitaki ufanye,... It's not right.

Mnaweza jadiliana masaa ya kazi, maana kuna wengine ni workhaholics,...ukimuachia ndio imekula kwako.
Monday to sunday yeye kazini, akirudi nyumbani hoi taabani, nafasi nawe hana! ..Wengine hulala kazini ati, siku tatu....!
Binafsi, kama linaepukika simu za Boss ziwe na kiwango bana, sio wenyewe tupo kwenye kuliwazana mara simu; 'Oohh, kazi fulani haijisha bla blah!' matokeo yake sweetheart wangu anaishia kuwa miserable weekend nzima.

Nguo pia ni mashauriano bana, wote mnatakiwa kuwa flexible,...hivi Mwj1 ukinambia Mbu vikaptura unavyovaa haziendani na hadhi yetu halafu mimi nikanuna, itakuwa akili hiyo? Itanibidi nitafakari kwanza ukweli...Sawa nami nikwambie Mwj1 hizo leggings valia angalau gauni refu mama,...he he he!

...Thx kwa kuelewa BJ. Unajua utotoni nilikuwa mtundu sana hali iliyopelekea kuchapwa mara kwa mara hata kwa yale ambayo nilikuwa naona sisthaiki kuchapwa. Mfano, nanunuliwa kigari cha kuchezea, siku ya pili nakuwa nimeisha kibomoa. Badala ya kupewa nafasi ya kujielezea, nikawa nakula fimbo!...Inaonyesha mother alikuwa keshachoka uharibifu wangu uliopitiliza...

Ubishi wangu ndio umeanzia hapo, ....yaani hata kama nimekosea, nisikilizwe pia. Sijakosea bure bure tu...mfano; vile vigari utotoni nilikuwa navibomoa kwa matarajio ya kuangalia kilichomo ndani yake ila ndio hivyo tena...kurudishia chap chap ilikuwa ngumu!

This applies to me Mbu nimecheka mpaka nimelia kha!!!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
"CHUPA MPYA, MVINYO ULE ULE" Mkuu umetumia falsafa pana sana hapa, safi sana!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
.......Swahiba Mbu, there you go again!!!

Mie nina wivu aisee, maswali gani hayo???
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
MJ1 confession yako imenichekesha sana but ni nzuri sana kwasababu hiyo ni hali ya kawaida kwa wanawake wengi from what i know,

One and Only //huyu Mbu anataka kuleta balaa hapa..anatufanya watu wazima tu'jifunue' hadi ndani ah. ama kweli
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Bado sijapata mwenza wa ukweli Mbu. Sasa hapa nita ungama nini? Labda nisome vya wenzangu. Ila nahisi mi nimbishi kweli sipendi kushindwa halafu natamani mwanaume mwenye akili za kiume. Sio mwanaume hawezi kuamua mambo na kufanya mambo kama mwanaume. Haya ndo namsubiri sijui atatokea lini.

Mshiki ........kumbe we mbishi aisee!! Najaribu kupiga picha ukiwa ndo wewe na Mbu.........sijui itakuwaje.

Afu mwanaume mwenye akili za kiume ndo yupi?? lol
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mimi kasoro yangu niko too critical. Nikisimuliwa story iso na kichwa wala mguu lazima nihoji. Na tabia hii najua kuwa ninayo kuna siku kuna dada alikuwa ana explain class kazi anazofanya na NGO fulani huko South America nikaona anatufunga kamba sikusubili amalize nikachombeza lecturer akaona mdada amechange akampoza akasema NK has been too provocative. Mme wangu uwa anachukia anataka nichukulie anachosema kama adithi za sungura. Ila kwa kuwa najua kasoro yangu ninajitahidi sana ku minimize.Mme wangu kasoro yake ni kutokubali. Mfano mimi nina kumbukumbu sana naweza kumpa kitu afu baadae akakataa kabisa sijampa. Kumbe kasahau. Badala ya kusema sikumbuki kama umenipa au la yeye anakomaa. Huwa nakasirika sana. Imagine wewe memory yako iko certain kabisa kuwa umefanya kitu afu mtu anakana! Na siyo mara moja yani ni tabia yake sijuhi kwa nini akubali kuwa yeye ni msahaulifu. Maana mara nyingi anaishia kuumbuka lakini bado ajifunzi.
Nyumba kubwa wala huna haja ya kushikwa na hasira kwa jinsi mumeo anavyokuwa mgumu kukubali udhaifu, niamini hayuko peke yake. Cha msingi wewe umeshaujua udhaifu huo so ikitokea huna haja ya kubishana naye, mkubalie hutopungukiwa na kitu... Mwanaume hukumbushwa, hakosolewi lol mabibi wa zamani walikuwa na kazi kweli lakini wameturahisishia formular rahis ya kuishi pamoja under minimum clashes
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
.......Swahiba Mbu, there you go again!!!

Mie nina wivu aisee, maswali gani hayo???

ha ha ha!

Kamandaaa!...
wivu wa nini tena kaka?
Nini kiini cha hofu na mashaka ilhali keshakutunukia moyo wake nawe umeushikilia kwa mikono miwili?
Hebu kuwa mkweli bana, ni nini kinachokutoa raha mpaka wivu unajaribu kupita reasoning power yako.

Mshiki ........kumbe we mbishi aisee!! Najaribu kupiga picha ukiwa ndo wewe na Mbu.........sijui itakuwaje.

Afu mwanaume mwenye akili za kiume ndo yupi?? lol

Mnh, Mwj1 hiyo picha itatokea -VE tena itakuwa inatisha utadhani ile ya X-Ray!
LD na mimi itakuwa kila siku kelele ndani ya nyumba...
Mimi nashikilia glass imejaa nusu ujazo,
yeye ananibishia eti imepungua nusu ujazo!
glass-half-full.jpg

LD kama unabisha, hebu nijibu kwanini kuku alivuka barabara? he he he...tutakesha!
 
  1. -ve yangu kubwa sipendi kusimamiwa ninapopewa/ninapofanya kazi fulani iwe oficini au nyumbani,huwa ninaamini kama ni kitu kipya ukishanipa directives,siwezi kushindwa(niache uone kama nitashindwa,na nikishindwa si nitauliza?),sio unakaa nyuma ya mgongo wangu,unaamrisha"do this",no......no this way, mara that way,aaaugh.Yaani naweza kuacha kila kitu.Nikakutizama tu tena kwa hasira(sijui kwanini huwa naamini naweza, na ni mtu wa kujituma hasa)
  2. Ya pili,hata kama nimekosea,sipendi ushout huku ukiwaalert wengine how bad it was.If you do this "sitaapologize",and i will hate you.(Nieleze kosa kwa upole tena tukiwa mi and yu,hapo nitaomba msamaha mara mia).Hii husababisha wengine waone sipendi kuambiwa ukweli,kumbe ni approach waliyotumia imesababisha hivyo.
3. Nikiamini jambo fulani kuwa liko hivi,na ninalielewa vizuri na ushahidi ninao,hata ubishane nami jan-dec,sibadiliki.Zaidi sana nitaendelea kutafuta more evidence nikubadili wewe.

4. Mwepesi mno wa kusamehe,niko very understanding cha msingi muhusika awe mkweli,akiri na kuonyesha nia ya kubadlikika(hata kama nimeolewa then mume akaleta mtoto wa nje aliyezaliwa tukiwa ndoani),nitamsamehe.Nashindwa kuhukumu.
naona kama niko weak sana hapa,yaani moyo wangu ndivyo ulivyo mwenzenu sijui nifanyeje.

5. Mtu akiniudhi,awe ndugu,jamaa n.k (japo kuniudhi ufanye kazi haswaaa),nitakasirika,naweza kuwa na majibu ya mkato kwake ili nisitamke neno baya kutokana na hasira,huku najiuliza moyoni,"hivi hajui kama kaniudhi?",then baada ya muda,masaa n.k nikiona haelewi "nasamehe hukohuko moyoni",alafu naendelea na maongezi naye kama kawaida then ndio nitaweza mwambia kama aliniudhi na nimeshasamehe lakini hapo kumbuka nilishaumia ile mbaya "kimoyomoyo"

Nifanyeje niweze kubadilika,au nifanyavyo ni sahihi

Mnh, Ballerina naona mazuri yako yamezidi mapungufu yako. Huo mzani endelea nao hivyo hivyo,
huna haja ya kubadilika. La msingi hakikisha wanaong'ang'ana kuingia akilini mwako 'waache viatu vyao mlangoni!'

Mimi kasoro yangu niko too critical. Nikisimuliwa story iso na kichwa wala mguu lazima nihoji. Na tabia hii najua kuwa ninayo kuna siku kuna dada alikuwa ana explain class kazi anazofanya na NGO fulani huko South America nikaona anatufunga kamba sikusubili amalize nikachombeza lecturer akaona mdada amechange akampoza akasema NK has been too provocative. Mme wangu uwa anachukia anataka nichukulie anachosema kama adithi za sungura. Ila kwa kuwa najua kasoro yangu ninajitahidi sana ku minimize.

Mme wangu kasoro yake ni kutokubali. Mfano mimi nina kumbukumbu sana naweza kumpa kitu afu baadae akakataa kabisa sijampa. Kumbe kasahau. Badala ya kusema sikumbuki kama umenipa au la yeye anakomaa. Huwa nakasirika sana. Imagine wewe memory yako iko certain kabisa kuwa umefanya kitu afu mtu anakana! Na siyo mara moja yani ni tabia yake sijuhi kwa nini akubali kuwa yeye ni msahaulifu. Maana mara nyingi anaishia kuumbuka lakini bado ajifunzi.

Nyumba kubwa wewe upo too Intruitive, au instinctive...
so long as hiyo tabia haitokupelekea kuwa argumentative, endelea na udadisi wako.
Ukiona marafiki wanakukimbia ujue wameshindwa kukabiliana na cross examinations zako, LOL!

Hilo la jinsi ya kum handle mumeo, acha nimkabidhi chaki na ubao MwanajamiiOne aendelee na darasa.
BTW, kwa nyote mnaonisoma, najibu haya kutokana na life experiences nilizokumbana nazo,
Kama kuna mtu ana hoja tofauti, ruksa tujadiliane nami nijifunze.
Mpaka sasa hakuna aliyenipa ushauri jinsi gani 'nijishushe!'...nisijemfanya Mamsap wangu Sponji/Shock Absorber!
 
Mnh, Ballerina naona mazuri yako yamezidi mapungufu yako. Huo mzani endelea nao hivyo hivyo, huna haja ya kubadilika. La msingi hakikisha wanaong'ang'ana kuingia akilini mwako 'waache viatu vyao mlangoni!' Nyumba kubwa wewe upo too Intruitive, au instinctive... so long as hiyo tabia haitokupelekea kuwa argumentative, endelea na udadisi wako.Ukiona marafiki wanakukimbia ujue wameshindwa kukabiliana na cross examinations zako, LOL!Hilo la jinsi ya kum handle mumeo, acha nimkabidhi chaki na ubao MwanajamiiOne aendelee na darasa.BTW, kwa nyote mnaonisoma, najibu haya kutokana na life experiences nilizokumbana nazo,Kama kuna mtu ana hoja tofauti, ruksa tujadiliane nami nijifunze.Mpaka sasa hakuna aliyenipa ushauri jinsi gani 'nijishushe!'...nisijemfanya Mamsap wangu Sponji/Shock Absorber!
Hahaha we Mbu umesikia mie mwalimu? Mwenyewe najifunza mengi hapa...Hapo kwenye namna ya kujishusha Mbu ni pagumu kwani inategemea na hulka ya mtu. Nimetoa mf wa wewe na Ld wote hamkubali kushindwa sasa wewe utajishushaje? Ingekuwa ni wewe labda na Lizzy Lizzy anajua wapenda ushindi ni rahsi kwake ni rahs kujishusha ili kuwe na amani.Kwa nyumba kubwa, yeye anawezajiepusha kukazana kubishana na mumewe kwa kuwa anamjua ni mbishi...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mbu kwa kusoma thread zako za siku mbili tatu hizi inaonekana hutaki kabisa kuharibu mahusiano yako ya sasa maana unatafuta kila mbinu kuhakikisha huchoshi...huboi wala huwi too pushy...HONGERA KWA HILO pia nafurahia kwaajili yako kwa kumpata mtu ambae unajitahidi sana asije akakuponyoka!!Kweli umempata “alma gemela“ wako.Nwy kuhusu kujishusha naomba niseme ukweli wengi sana tuna hiyo tabia.Unachotakiwa ni kuwa na “limit“ ....usiyachukulie mahusiano yenu kama mashindano au mwenzi wako kama mshindani wako.Na hata kama unabisha kitu do it ‘calmly‘ that way hamtofanya kitu kidogo kuwa ugomvi.Alafu mara nyingi watu wabishi hua wanapenda sana kukatisha watu wengine wakiongea(yani unajikuta kama amesema kitu ambacho hukubaliani nacho unataka umrekebishe pale pale kabla hajamaliza anachosema) ila wenyewe hua hawapendi kabisaaaaa kukatisha...JIFUNZE KUA MSIKILIZAJI....najua hili kwa kujichunguza mwenyewe.Nwy jitahidi sana kukwepa hii kitu maana hua inaonyesha kama vile unadharau /hujali mwenzako anachoongea maana unaona wewe tu ndo mwenye point ya maana.Try and hold you tongue till she/he finishes...muda haukimbii.Last but nit least sometimes just let her win....then baadae mkishatulia unaweza ukamrekebisha taratibu /ukamfahamisha alipokosea.Hii inamnyima yeye nafasi ya kubisha!Nikifikiria mengine ntaongeza!!MJ1 mpenzi mwenyewe unesema hawa viumbe hawakosolewa...hata kuwaambia ukweli inabidi utumie akili.Unaweza ukafikisha ujumbe mmoja kwa njia mbili tofauti....ya kwanza ukaambulia mnuno na ya pilia ukashangaa unapata samahani au hug bila hata kuomba!Ni kiasi tu cha kuchezeana akili!
 
...mnh, kwa hili darasa unalotoa humu, ...siku yakinizidia ujue nakuletea kesi huko huko ulipo!
I hope nyumba kubwa ataridhia na majibu yako,...hajaingia leo humu, labda anapalilia penzi mida hii!

Mbu kwa kusoma thread zako za siku mbili tatu hizi inaonekana hutaki kabisa kuharibu mahusiano yako ya sasa maana unatafuta kila mbinu kuhakikisha huchoshi...huboi wala huwi too pushy...HONGERA KWA HILO pia nafurahia kwaajili yako kwa kumpata mtu ambae unajitahidi sana asije akakuponyoka!!Kweli umempata “alma gemela“ wako.Nwy kuhusu kujishusha naomba niseme ukweli wengi sana tuna hiyo tabia.Unachotakiwa ni kuwa na “limit“ ....usiyachukulie mahusiano yenu kama mashindano au mwenzi wako kama mshindani wako.Na hata kama unabisha kitu do it ‘calmly‘ that way hamtofanya kitu kidogo kuwa ugomvi.Alafu mara nyingi watu wabishi hua wanapenda sana kukatisha watu wengine wakiongea(yani unajikuta kama amesema kitu ambacho hukubaliani nacho unataka umrekebishe pale pale kabla hajamaliza anachosema) ila wenyewe hua hawapendi kabisaaaaa kukatisha...JIFUNZE KUA MSIKILIZAJI....najua hili kwa kujichunguza mwenyewe.Nwy jitahidi sana kukwepa hii kitu maana hua inaonyesha kama vile unadharau /hujali mwenzako anachoongea maana unaona wewe tu ndo mwenye point ya maana.Try and hold you tongue till she/he finishes...muda haukimbii.Last but nit least sometimes just let her win....then baadae mkishatulia unaweza ukamrekebisha taratibu /ukamfahamisha alipokosea.Hii inamnyima yeye nafasi ya kubisha!Nikifikiria mengine ntaongeza!!MJ1 mpenzi mwenyewe unesema hawa viumbe hawakosolewa...hata kuwaambia ukweli inabidi utumie akili.Unaweza ukafikisha ujumbe mmoja kwa njia mbili tofauti....ya kwanza ukaambulia mnuno na ya pilia ukashangaa unapata samahani au hug bila hata kuomba!Ni kiasi tu cha kuchezeana akili!

...ahsante Lizzy kwa kutambua hilo, umeyaandika haya kwa busara ya hali ya juu.
Na kweli, haitani cost a thing ku hold my tongue mpaka amalize kuongea/kulalamika...
na hilo la 'siku moja moja' kumuachia nae ajiskie sikie mshindi wa hoja---lol! (akinisoma hapa I hope ataelewa)
Nashukuru sana.

Aksante Lizzy, umefunguka mpenzi.....ni kucheza tu na akili

Na kweli Mwj1,...kucheza na akili.
 
I normally don't argue, ila the way ninavyo cross examine na ku probe watu nimegundua hawapendi. Ukinisimulia kitu inakuwa ngumu kutikisa kichwa bila kutaka kujua material facts.

Mfano kuna dada alikuwa anasimulia darasani kuwa yeye ana mapenzi ya hali ya juu na kazi yake (ni program coordinator wa NGO moja huko Guantemala). Wakati wenzie tunatafakari ni jinsi gani wafanyakazi wa NGOs wanaweza ku get poor people involved into their projects kwa kuwa in most cases they are not interested to, yeye akaja na story jinsi anavyofanya kazi hata kama watu watano tu wata turn up into her project ili mradi anajua with time wengine watavutiwa. Watu wakawa wanamsikiliza kwa umakini mkubwa. Mimi nikajikuta nachombeza kabla hajamaliza kusimulia "but you get your salary". Wacha akasirike, japo alijibu wakati mwingine silipwi huwa na volunteer lakini nilimuona kawa mdogo nikajisikia vibaya sana.

Back
Top Bottom