Chuo kikuu Muhimbili chafuta chama cha wanafunzi (students' organization)- muhasso

Hii ishu inahitaji suluhisho la kisheria,nashauri muwaone wanaharakati kama Tundu Lissu na Mabere Marando
Dawa ni kufungua kesi na kupinga maamuzi hayo yasiyo rafiki kwa demokrasia
 
Mimi nilidhani tuwapongeze uongozi wa chuo....isitoshe mnasomea UTABIBU.....A VERY SERIOUS PROFFESSION WHICH NEEDS SERIOUS PEOPLE.....ni sawa na wale wanafunzi wa chuo kikuu cha mlimani waliogomea MKATE BILA SIAGI ...NYERERE AKAWATIMUA....!
Concetrate katika mwili wa binadamu......CHUO CHA MWALIMU NYERERE AU MZUMBE ,AU CHUO CHA MAHAKAMA LUSHOTO...! WAKIPATA KESI KAMA HII ITAJADILIKA....! "WADUNGA SINDANO WETU WATARAJIWA" HEBU FUATILIENI KWA NINI KLOROKWINI AMBAYO ILIKUWA KIPENZI CHA WENGI IMEFUTWA.....WAKIWAKATALIA KUFANYA UTAFITI WA KLOROKWIN TUTAWAUNGA MKONO.....LAKINI HILI.....ME I SAY NOOO...NOOO....NOOO
NADHANI NDIYO MAANA SAMUNGE WATU WANAKIMBILIA HUKO ...KUMBE WASOMI WAO WANATA MADARAKA....! KWELI CHEONI NOMA
 
[*]INATAKA WATU WAGOMBEE UONGOZI WENYE GPA FROM 3 AND ABOVE(Je ni viongozi gani na wangapi wa nchi hii wenye hata degree) kama ndo hivyo kuwa rais tu uwe na GPA hiyo basi ngazi kama za wabunge na mawaziri wawe na phD and others prof kabisa.
[/LIST]
duh! Kwahyo hiyo GPA ya 3 hakuna wanaozipata au? Kwa mtazamo wako wewe ungependa waangalie vigezo gani? Hiyo kwenye mabano unataka kuendeleza haya haya yanayopigiwa kelele kila siku? Maana nyie ndio viongozi wa kesho kwahiyo mnahitaji mfumo wa kuongozwa na vilaza(samahani kwa kutumia neno kali) uendelee?
 
mod futa tena na hii:
wewe hapo muhimbili umefuata uongozi au shule?mbona ni common sense tu hapa?Kama huna uwezo hata wa kupata GPA ya 3,unang'ang'ania uongozi wa nini?Wakiku disco utaleta lawama kibao hapa.Kaza msuli wewe,utalosti!
 
Ni sawa, kwani kama GPA ni chini ya 3 ukiwa kiongozi maana yake utafeli[/QU

Cjui umesoma course gani mkuu(kama umefika chuo kikuu), nimesoma MD muhimbili university, darasa letu la mwaka wa3 wa kwanza alipata gpa ya 3!wa pili ya 2.8! so' suala la gpa kuwa kigezo linaweza licikufikirishe sana ww na watu wengine kutokana na nature ya vyuo na course mlizosomea but kwa chuo kama muhimbili kuweka gpa ya 3 kama kigezo ni UNYANYASAJI WA MAKSUDI!

kwanza kuweka gpa kama kigezo ni kinyume na katiba ya nchi, inayopinga ubaguzi wa aina yeyote ile!
 
duh! Kwahyo hiyo GPA ya 3 hakuna wanaozipata au? Kwa mtazamo wako wewe ungependa waangalie vigezo gani? Hiyo kwenye mabano unataka kuendeleza haya haya yanayopigiwa kelele kila siku? Maana nyie ndio viongozi wa kesho kwahiyo mnahitaji mfumo wa kuongozwa na vilaza(samahani kwa kutumia neno kali) uendelee?


Cjui umesoma course gani mkuu(kama umefika chuo kikuu), nimesoma MD muhimbili university, darasa letu la mwaka wa3 wa kwanza alipata gpa ya 3!wa pili ya 2.8! so' suala la gpa kuwa kigezo linaweza licikufikirishe sana ww na watu wengine kutokana na nature ya vyuo na course mlizosomea but kwa chuo kama muhimbili kuweka gpa ya 3 kama kigezo ni UNYANYASAJI WA MAKSUDI!

kwanza kuweka gpa kama kigezo ni kinyume na katiba ya nchi, inayopinga ubaguzi wa aina yeyote ile
 
Cjui umesoma course gani mkuu(kama umefika chuo kikuu), nimesoma MD muhimbili university, darasa letu la mwaka wa3 wa kwanza alipata gpa ya 3!wa pili ya 2.8! so' suala la gpa kuwa kigezo linaweza licikufikirishe sana ww na watu wengine kutokana na nature ya vyuo na course mlizosomea but kwa chuo kama muhimbili kuweka gpa ya 3 kama kigezo ni UNYANYASAJI WA MAKSUDI! kwanza kuweka gpa kama kigezo ni kinyume na katiba ya nchi, inayopinga ubaguzi wa aina yeyote ile
umeeleweka na ndio maana nikauliza kwa mtazamo wako ungependa vigezo viwe vipi? Kwasababu unapopinga jambo hupingi tu ili mradi uonekane mbishi. lazima uwe njia mbadala. Useme badala ya kuwa hivi ingebidi iwe hivi. Kulalamika bila kusema mnatakaje hata wanaolalamikiwa wanashangaa.
 
Mimi nilidhani tuwapongeze uongozi wa chuo....isitoshe mnasomea UTABIBU.....A VERY SERIOUS PROFFESSION WHICH NEEDS SERIOUS PEOPLE.....ni sawa na wale wanafunzi wa chuo kikuu cha mlimani waliogomea MKATE BILA SIAGI ...NYERERE AKAWATIMUA....!Concetrate katika mwili wa binadamu......CHUO CHA MWALIMU NYERERE AU MZUMBE ,AU CHUO CHA MAHAKAMA LUSHOTO...! WAKIPATA KESI KAMA HII ITAJADILIKA....! "WADUNGA SINDANO WETU WATARAJIWA" HEBU FUATILIENI KWA NINI KLOROKWINI AMBAYO ILIKUWA KIPENZI CHA WENGI IMEFUTWA.....WAKIWAKATALIA KUFANYA UTAFITI WA KLOROKWIN TUTAWAUNGA MKONO.....LAKINI HILI.....ME I SAY NOOO...NOOO....NOOO NADHANI NDIYO MAANA SAMUNGE WATU WANAKIM
 
Hili ni jambo la kisheria, bila kufuata kanuni hata mlalamikeje halitapata ufumbuzi. Tumieni elimu waliyowapa kuwaonyesha kwamba wamekosea na si kutumia lugha za kejeli kama baadhi ya wadau walivyofanya. Taasisi ya Umma huongozwa kwa sheria ya umma, sheria ya umma hutungwa na umma. GPA si hoja, hoja ni kwa nini GPA itumike. Naomba mchambue kisomi tuelewane mtupe taarifa ambazo hazina bias. Otherwise Student organisation ni muhimu si kwenu tu hata kwa watawala wa chuo na sisi wanakijiji.
 
Kwa GPA 3 wako sahihi kabisa na inabidi wapewe pongezi kwani wanawaokoa wanaokaribia kupotea na kuyumbisha taifa.Ila uongozi ni muhimu kuwepo
 
Mi naomba kama wanajamii mnachangia mada mjitahidi kuwa watafiti pia, kwani yanayoendelea (MUHAS) ni maajabu katika jumuiya ya wasomi. Kuna haja ya kusoma FALSAFA kwa nguvu kubwa ili 2jenge hivi; "critical thinking and critical reasoning" kwan kuna mwanafunzi wa university hajui nini maana ya GPA! Inatisha..!
 
Back
Top Bottom