Wewe unadhani ni nini tafsiri sahihi?Mimi napata shida na neno University kama ndiyo tafsiri sahihi ya neno Chuo Kikuu,
wana kiswahihili naomba mchango wenu ili nijue tafsiri iliyotumika kupata neno chuo kikuu.
Mimi napata shida na neno University kama ndiyo tafsiri sahihi ya neno Chuo Kikuu,
wana kiswahihili naomba mchango wenu ili nijue tafsiri iliyotumika kupata neno chuo kikuu.
Collegendaki au zutafindaki
Mimi napata shida na neno University kama ndiyo tafsiri sahihi ya neno Chuo Kikuu,
wana kiswahihili naomba mchango wenu ili nijue tafsiri iliyotumika kupata neno chuo kikuu.
Chuo Kikuu kinajumuisha vitivo vya taaluma mbalimbali, hivyo University ni tafsiri sahihi.Kuna tofauti gani kati ya neno, "UNIVERSITY" na neno, "COLLEGE".
Nimekusoma.Chuo Kikuu kinajumuisha vitivo vya taaluma mbalimbali, hivyo University ni tafsiri sahihi.
Chuo chenye kutoa mafunzo ya taaluma moja tu ndio hutambulika kama college.