Chuo Kikuu cha Sokoine Morogoro, Hostel ni tatizo!

hahahaaaa mambo madogo sana hayo...... ungesema walimu hawatoshi tungekuona wa maana sana mjomba.... kalale hata juu ya mti ila lecture hakikisha una attend na test zao zote uanfanya hahahaaaaa itakula kwako
 
Ahah, poleni sana, si huku UDOM chumba cha mtu 4 tunalala wabee.

Tunaongelea vyumba, msilete stori nyingine heaters
 
sema kampasi ya Mazimbu main Campus hakuna tabu ya Hostel, baada ya ujenzi wa new Hostel 2010, kwa upande wa Mazimbu kuna Hostel za Kihonda. Huwa haMzitaki.
 
elimu pia inaambatana na mazingira mazuri ikiwa ni pamoja na malazi, nimesoma sua na sasa nipo udom kwa masters. kwa kweli udom wamejitahidi sana kujenga hostel nyingi sana na nzuri sana na haya yote ni kumfanya mwanafunzi asome katika mazingira mazuri. suala la hostel ni muhimu sana katika maendeleo ya mwanafunzi kitaaluma
 
tatizo sio sua kuchukua wanafunz weng tatzo ni tcu kuwalazimisha kuchukua wanafunzi wengi....yaaani mwaka huu wataliwa vichwa mpaka wakome ...natural selection will take place wewe subiri uone
 
babala ya kulala 6 room tunalaa 12 na bado wengi wako mtaani, tatizo mwaka huu boyz wamekuwa fevered sana than girl na ndio maana upungufu unaoneka, miaka ya nyuma ilikuwa vice versa so boyz walikuwa wanajichanganya tu uswazi na kuhonda. leo binti umpeleke kihonda maanake akanunue na baiskel, sasa mambo gani hayo!?
 
Kama hostel hazitoshi darasani kuna hali gani? Na kwenye test n UE mnapangwa vipi mbona hamlalamiki? Elimu ya chuo sasa inafanywa kama chekechea, wakati nasoma MSc SUA kuna rafiki yangu lecturer aliniomba nimsaidie kusimamia mtihani wa BSc nilishangaa sitting arrngmnt utafikiri ni dscssn room. Wakati tunasoma BSc kulikuwa na Prf Msumari RIP alikuwa anatupanga mwenyewe kwa kuita majina hakuna mitandao ya kuangaliziana lkn sasa bahari shari kabisa.
 
babala ya kulala 6 room tunalaa 12 na bado wengi wako mtaani, tatizo mwaka huu boyz wamekuwa fevered sana than girl na ndio maana upungufu unaoneka, miaka ya nyuma ilikuwa vice versa so boyz walikuwa wanajichanganya tu uswazi na kuhonda. leo binti umpeleke kihonda maanake akanunue na baiskel, sasa mambo gani hayo!?
kwenye hizo red naiman hukukusudia kuandika hivyo!!! turudi kwenye mada...ndugu yangu siku hizi hamnaga kupendelewa kama una uwezo ndo unapata na sivinginevyo...wewe unasema wanaume wamependelewa,ulikua unataka sua iwe girls au wangekua ni girls peke yao chuo kisingejaa??? sijaelewa una maanisha nini unaposema chuo kimejaa kwa sababu wavulana wapo wengi(kitu ambacho sikiamini)!!! na kionda imewekwa kwa ajili ya boys tu??
 
Back
Top Bottom