Chuo Kikuu cha Sokoine Morogoro, Hostel ni tatizo!

Mdau Makini

Member
Sep 18, 2012
70
10
Chuo kikuu Sokoine Morogoro, Hostel ni tatizo kubwa sana.Wanafunzi waliopo ni kama mara tatu ya Hostel zilizopo, Wanachuo wanalala wawili wawili a. K.a kubebana lakini wapi....wengine wamepanga mtaani lakini waaap!

Ni bora kila chuo kuchukua wanafunzi sawa na uwezo wao wa Accomodation.
 
Ukoo main campus au Solomon Mahlangu campus? Kama solomon mbona watu binafsi wamejenga hostel nyingi na nyingine zilikuwa hazina wateja. Vipi zile hostel za kihonda huwa hazina watu na gharama za pango ni ndogo sana.
 
Ukoo main campus au Solomon Mahlangu campus? Kama solomon mbona watu binafsi wamejenga hostel nyingi na nyingine zilikuwa hazina wateja. Vipi zile hostel za kihonda huwa hazina watu na gharama za pango ni ndogo sana.

sasa hivi watu ni wengi sana na vyumba vimejaa hata mtaani
 
ni kama UDSM,,sie tushazoea kubebana tu,,nyie wa uko amjuagi tu
 
:embarrassed:yeah kwa kweli hili ni tatizo kubwa kiasi kwamba wanachuo wananunua magodoro na kutandika chini! hili liangaliwe kwa jicho pevu

:director: :director::director::director::director::director::director:
 

Attachments

  • ray.jpg
    ray.jpg
    8.7 KB · Views: 75
jukumu la chuo ni kukupa elimu sio malazi....kama vp ingia mtaani....au hama chuo uende kule kwenye hostel kibao kama vile chuo majengo
 
jukumu la chuo ni kukupa elimu sio malazi....kama vp ingia mtaani....au hama chuo uende kule kwenye hostel kibao kama vile chuo majengo
Utapokeaje elimu wakati mazingira sio rafiki kukuwezesha kupokea hiyo elimu?
 
kulala nayo ni part ya maisha we unayesema ameenda kusoma au kulala we uko chuo gani ambao hamulali
 
Ww umeenda chuoni kulala au kusoma
Mkuu acha nadharia za advance secondary school zakukesha usiku kucha.Lazima kuwapo na malazi mazuri ili upate utulivu wa akili.Haina mantiki ulale kwa kubanana wakati pesa ya malazi umelipia huu ni uzembe wa hali ya juu.Ukilala ovyo ovyo hata darasani utakuwa na usingizi wa kufidia ule usiku uliokosa usingizi.
 
Hivi vyuo vya Tanzania tuna shida gani?Ukienda pale UDOM College of Humanities and Social Sciences hostels ni nyingi na madarasa machache.Na sasa nasikia jamaa wa Sokoine anasema kuna tatizo la hosteli?Vipi na madarasa yanatosha mkuu huko SUA?Na bado tunafundishwa planning kwenye vyuo vyetu.Kweli tunalekea wapi sasa?
 
Back
Top Bottom