Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha EA wamtunuku Prof. Anna Tibaijuka

Paschal Matubi

JF-Expert Member
Sep 15, 2008
235
302
Chuo Kikuu cha Kanisa Katoliki kilichoko Kenya (CUEA) kimemtunuku Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka, Director wa UN Habitat degree ya heshima kwenye fani ya Haki ya Jamii na Maendeleo ya Binadamu (social justice and human development).

Soma habari yote hapa chini ambayo imekuja kama daily subscription kutoka Catholic Information Servce Africa (CISA):


KENYA: Catholic University of East Africa (CUEA)Marks 25 years in style.

NAIROBI, February 12, 2010 (CISA)-The Cardinal prefect in charge of Catholic Education, Zenon Cardinal Grocholeswki has challenged institutions of learning to go beyond mere education and instead offer holistic formation of the students that go through their institutions. The Cardinal was speaking during the celebration of 25 years of CUEA during which the University honoured him along with five other eminent personalities for their contributions to the course of evangelization human development.

Zenon who received an honorary degree in sacred Theology with a specialization in Christian Education, sustained that “True scientific education requires sound grounding in ethics. Mere education without proper moral grounding results in horrendous consequences among them, the evil we have seen perpetrated in the world in the form of terrorist activities among others.”
Zenon insisted that while the pursuit of science is commendable, science alone cannot answer the fundamental questions of life. As such the pursuit of scientific learning should be undertaken while stimulating the reflections on deeper human concerns that perennially plague the human mind. Making numerous references to the Apostolic constitution on Catholic higher education that describes the identity and mission of Catholic colleges and universities, (“Ex Corde Ecllessiae”) the Cardinal made it clear that the role of the university should include the study of humanism that contributes to the development of man. “As a Catholic institution, CUEA, while imparting education should strive to search for the truth, the dignity of man and good of the church,” said the Cardinal.

The University also honoured Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka, the Executive Director of UN Habitat with an honorary degree, in social justice and human development. Rt. Rev Medardo Joseph Mazombwe, Archbishop Emeritus of Lusaka with sacred theology with a specialization in Church and Development. Others so honoured were; Bishop Paul Kalanda, bishop emeritus of Fort Portal with Sacred Theology with a specialization in Culture, mission and evangelization and Lady Justice Anastasia Msosa from Malawi with social sciences with specialization in social justice and Christian Ethics. Fr. Cecil MacGarry was honoured post homously with an honorary degree in sacred theology with specialization in Christian Education, his degree was received by the Current Provincial General, Fr. Orobator SJ.
The celebrations of 25 years of service to the Church and society were also attended by Kenyan Assistant minister for Higher Education, Hon Asman Kamama, who hailed the Catholic Church for the good work as a development partner in the country.
 
Asante Paschal, afadhali huyu mama atunukiwe kuthamini juhudi zake, hii ni faraja kwake na Watanzania kwa ujumla, kwani ameshanyanyaswa sana ndani ya UN System hapo Nairobi.
 
Asante Paschal, afadhali huyu mama atunukiwe kuthamini juhudi zake, hii ni faraja kwake na Watanzania kwa ujumla, kwani ameshanyanyaswa sana ndani ya UN System hapo Nairobi.

Hongera Anna Kajumulo kwa kutunukiwa shahada nyingine. Pasco sidhani kama kuna mtu amemyanyasa huyu mama kwenye hiyo U.N. system hapo Nairobi; kule kumyang'anywa kuwa overall in charge wa U.N system pale Nairobi ni kwa sababu Anna alikuwa mtu wa Koffi Annan na huyu Katibu mkuu wa U.N. alipoingia ilibidi aweke mtu wake. Waswahili husema kila Mtume na Nabii wake kwahiyo Moon alimuweka nabii wake na huo sio unyanyasaji!
 
Hongera Anna Kajumulo kwa kutunukiwa shahada nyingine. Pasco sidhani kama kuna mtu amemyanyasa huyu mama kwenye hiyo U.N. system hapo Nairobi; kule kumyang'anywa kuwa overall in charge wa U.N system pale Nairobi ni kwa sababu Anna alikuwa mtu wa Koffi Annan na huyu Katibu mkuu wa U.N. alipoingia ilibidi aweke mtu wake. Waswahili husema kila Mtume na Nabii wake kwahiyo Moon alimuweka nabii wake na huo sio unyanyasaji!
.
Kitendo tuu cha kuwa overall, unanyang'anywa, halafu unaletewa mtu junior wako kwa kila kitu, na wewe bado unaachwa hapo hapo ni aina ya unyanyasaji, implication yake kwa ordinary mind ni hawezi kazi hivyo ni demotion sasa kaletwa more competant person!. Haya ni manyanyaso!.
 
It does matter to use language correctly. We do not have here a case of “Wakatoliki wamtunuku…..”, but “Chuo cha Kikatoliki chamtunuku…..”. The difference is important.

When Notre Dame honoured Obama, did anyone claim that “Wakatoliki wamtunuku Obama?” In fact that honour to Obama was condemned by many Catholic leaders around the world.

The good Professor has been honoured, correctly so, not by the Catholic Church but by a Catholioc University.
 
karibu anastaafu na kuna taarifa anagombea ubunge huko kwao Muleba.Nadhani anayo mengi ya kulifanyia jimbo lake.
 
Jamani huyu mama tunamhitaji nyunbani kupita maelezo,Mkapa alitaka kumfunika lakini hakuweza,Njoo mama waelemishe kina mama wa TZ wajue haki yao kwenye kura!!
 
Hongera Mama Tibaijuka,
Huyu mama ni kiongozi mwenye upeo na mchapa kazi... alianzia 'UWT' wakati siasa vyama vingi ikianza, alitaka UWT ifanywe Baraza la Wanawake Tanzania lisihodhiwe na CCM pekee... M/kiti wakati ule Ali Hassan Mwinyi, akisaidiwa na baadhi ya wanawake wa CCM kama Anna Abdalah, Getrude Mongela, Anna Makinda walipambana nae sana... wakalilifutia baraza la wanawake usajili ndipo alipohamishia nyota yake kwenye nyanja za kimataifa... sasa waone wenziwe kama Getrude Mongela...katika bunge la AU ameacha record ya ufujaji fedha na wanawake wengine ndani ya CCM wamebakia tu na makapi kama Sofia Simba na wakolezaji wa mfumo dume wa CCM...
Anna Tibaijuka is our pride Hongera!
 
Atakuwa ni mkatoliki huyu. Jamaa huwa hawakawii kuwainua watu wao ili mradi unaibusu ile pete ya Askofu wao.
 
Hongera kwa Profesa Tibaijuka. Vyuo vikuu Tanzania viangalie jinsi ya kuwatuku watu wa kawaida ambao wametoa mchango mkubwa akatika jamii zao. Ikiwezekana vingalie wanawake ambao walichangia kwa kiasi kikubwa nchi yetu kufika hapa ilipo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom