Chuo kikuu cha dsm (UDSM) kuna maandamano

yale yale hamna jipya.
Mnagoma alafu wenzenu wakifukuzwa hamuwatetei.
Wengi wameathirika na migomo yenu e.g. Julius Mtatiro, Odong n.k.
Nyie mtapata hio 10000 alafu waliowasaidia kuipata watafukuzwa chuo.
I hope they have a better strategy ya kuwaokoa watakaofukuzwa.
Kidumu chama na zidumu fikra za mwenyekiti hata ni kichaa ndicho kinachokusumbua. kwani wangapi wamekufa wakati wa MOI KENYA ila leo wakenya kwa ujumla wanafaidi katiba mpya.
 
Waongezee kutokuwepo kwa mabweni/hosteli, mfumo mbovu wa udahili, kutokuwepo na uwiano sahihi katika kuwapangia viwango vya ada( meanstesting).
 
Yani wakomalie hivyo hivyo ili wagawane keki ya ufisadi vizuri.mda si mwingi peoples power itawaunga mkono na miguu.
 
tafadhali futa kauli yako kwamba wanafunzi wakigoma wanafukunzwa na wenzao wanawaacha. MTATIRO hakufukuzwa bali alisimamishwa na amemaliza chuo bila matatizo. swala la Odong lilikuwa na mambo mengine ya kisiasa zaidi ya swala la mgomo hapo UDSM. kama huna uhakia uliza wadau wengine watakupa habari za uhakika. na suala la kudai haki hapa tz sio kipindi cha kubembeleza tena kwa maana viongozi wameota sugu ya uzembe ktk uwajibikaji hivyo kilicho baki ni kuwashitua kwa makelele hata ikiwezekana kuwamwagia michanga kidogo wapate kushituka.
 
Back
Top Bottom