Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hali bado ni tete. Options

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Inaelekea hali ya Wanafunzi wa Chou kikuu cha Dar Es Salaam bado ni tete kutokana na habari kuwa sasa hivi wameanza kufanya maandamano wakiwa wanatokea maeneo ya kitivo cha sheria. Haijafahamika kama maandamano hayo yamepangwa kuelekea wapi ila kwa walio karibu na wenye taarifa watujulishe hali ilivyo
 
Back
Top Bottom