Chuo kikuu cha afya na sayansi shirikishi cha muhimbili-muhas tunahitaji tawi la chadema please

ecolizer baba

Member
Sep 29, 2010
88
310
Wakuu habari? Hili ni ombi maalum kwa uongozi wote wa CHADEMA na wanamageuzi wote.Kama mnanisikia please njooni mtufungulie tawi huku chuoni vijana wana hamu ya kupata kadi za chama na kuwa wanachama kamili.Naomba kuwasilisha.
 
Tunakuja kuwashika hapo varsity kaeni mkao mzuri.Saa ya ukombozi wa Tanganyika ni sasa
 
mbona tawi lipo hapo muhimbili karibu na geti la kutokea ndani?cha kufanya wasiliana na huyo mzee kwa maelezo zaidi..
 
Shukrani sana wana-ukombozi lakini pamoja na kwamba tawi lipo hapa upanga ingekuwa fresh kama nasi tungekuwa na katawi ketu huku ndani ya chuo kama ilivyo kwa vyuo vingine kwani msimamizi wa hili tawi la upanga magharibi hatumjui.Kilichopo ni kuwa na organization yetu wenyewe hapa MUHAS kwani vijana wana hamu ya kuwa na umoja wao humu humu ndani.So njooni mapema saa ya ukombozi ni sasa.
 
Otherwise Tembelea Ofisi za CHADEMA Pale Kinondoni ili upate utaratibu wa kuanzisha Tawi
 
Back
Top Bottom