Ubora katika uhasibu utaujua kwa kutumia takwimu tu. Kwa mfano ni wanafunzi wangapi toka Chuo husika wamesajiliwa na NBAA kama CPAs. Je wahitimu aa chuo husika dhidi ya vyuo vingine inawachukua muda gani kufaulu masomo ya CPA? Na mwishowe ni wahitimu wangapi wa Chuo husika wana head departments za uhasibu kwenye taasisi kubwa. Takwimu kama hizi zinaweza kupatikana kutoka kwenye ripoti za ESAURP, au Synovate au ERSF. Kinyume cha hapo kila mmoja atakuwa anavutia chuo alichosoma yeye. No data no right to speakWadau naomba msaada. Nina uncle wangu anataka kumrejesha mtoto wake aje asomee shahada ya biashara kwenye University/Chuo hapa Tanzania. Ameniomba ushauri kuhusu wapi ampeleke mtoto wake (Chuo bora kwa masomo ya Uhasibu au Biashara). Kwa vigezo rahisi vya popularity x 'quality' nimepata vyuo 3 - UDSM, Mzumbe na IFM. Naomba mwongozo kuhusu kipi bora zaidi (just ranking). Naomba kuwakilisha.

Mzumbe noumar jaman hata pass zao ni za juu kuliko hao ifm ua udsm

Ndugu yangu najua unataka kupata ushauri wa manufaa, ila kiinachoendelea hapa ni maswala ya Mwamba ngozi huwa anavutia kwake. Kila atakayekupa ushauri hapa ni kwasababu amesoma hapo au ana maslahi yake fulani.

Sitaki nitoe jibu la kwamba kipi kizuri au la. Shule kwa kiasi kikubwa ni swala la mwanafunzi mwenyewe.

Nakushauri kwanza aombe kulingana na kozi anayotaka kusomea na wapi hiyo kozi inapatikana.

Ninachotaka nikuondoe hofu ni kwamba kama huyo mtu wako ni safi, na anataka biashara basi aanzie kati ya IFM au Mzumbe. Akishindwa achukue UDSM. Mambo ya kishindikana ndio atafute mambo mengine.

Kuna chuo kinaitwa: MUCCoBS kipo moshi ni balaa. Uliza NBAA utaambiwa

Senator ngoja nkusahihishe mwaka 2004 pale mzumbe cut off point kujoin BAF ilikuwa one ya point 7.

Kuhusu chuo opt for mzumbe,ifm au arusha uhasibu ata NBA watakudhihirishia ilo as baadhi ya ivyo vyuo tajwa apo mitaara yake kwa wahasibu inamatch na ya board ya NBAA
Kama nilivyosema mwanzo mie kuwa na pia nakushauri soma course content za BcomFinance ya UDSM na Bachelor of Banking and Finance. Utagundua kuwa kama unataka kijana wako ajengeke katika ulimwengu wa sasa in Finance and Accounting mpeleke IFM. Ikiwa kama unataka kusoma Economics au Econometrics kasome UDSM au SUA.
Vile vile katika Accounting ni hivyo IFM ijapokuwa ni Tertiary University ila wamejijenga zaidi katika field hizo za Banking, Finance and Accounting na wanakubalika mpaka Marekani na Ulaya na Middle East (wamepublish articles zao huko). Na walimu wake wengi ndio wanafundisha pia Mzumbe, UDSM na Tumaini. Hivyo ningelikushauri kwanza soma course content zao UDSM na vile vile angalia mfuko wako. Ikiwa mfuko umetoboka basi wewe nenda Mzumbe, au UDSM (ijapokuwa sasa hivi sijui private candidate analipa bei gani). Kama mfuko umetuna kamsomeshe IFM utakubali maneno nayoyasema. Tatizo la IFM kubwa liko kwenye walimu wake na ubusy wao usiokuwa na msingi na kuna tetesi kutoka kwa wanaosoma huko pia mitihani migumu wanayoitunga inawaumiza vijana.
Jamani ni vyuo vipi vizuri kwa diploma ya acount au plocurement and supplies! nisaidien kujua na ada zake ikiwa ni pamoja na hostels.

c bora aende hata saut au 2maini,sa hicho chuo chako ambacho hakijulikan hata kiko nchi gan,c ndio atapotea kabisa.