Chuo gani hapa Dar kinatoa Msc in IT au Comp science ukiacha UDSM?

Zedekiah

Member
Jul 9, 2009
47
18
Jamani wadau naombeni mnijuze kuhusu hili hv ni Chuo gani hapa Dar kinatoa Msc in IT au Comp science ukiacha UDSM?
 
Mkuu ifm wanatoa Msc information technology and management fees yao ni $6000 tu. iko poa sana haina longo longo
 
Back
Top Bottom