Chuo chuo

Kayinga junior

Senior Member
Feb 19, 2012
152
7
CHUO HIKI KINATOA KOZI KM: 1 ubahili miezi3. 2 ulevi miezi 6. 3 uchakarikaji miezi 9. 4 kuendesha baiskeli mwezi 1. 5 kusogeza mipaka kwa majirani miezi 12. 6 kuchoma na kula nyama miezi 2. Atakaejiunga mapema atapewa ofa kozi yakupika mbege na kutembeza ndizi bureee.Wahi nafasi nichache sana. Kwamawacliano piga 111,112 au 113.
 
Chuo cha Misitu na Wanayama Pori - Mwika.
Au kile cha maeneo ya KCMC........ Nilisoma hayo maeneo
 
CHUO HIKI KINATOA KOZI KM: 1 ubahili miezi3. 2 ulevi miezi 6. 3 uchakarikaji miezi 9. 4 kuendesha baiskeli mwezi 1. 5 kusogeza mipaka kwa majirani miezi 12. 6 kuchoma na kula nyama miezi 2. Atakaejiunga mapema atapewa ofa kozi yakupika mbege na kutembeza ndizi bureee.Wahi nafasi nichache sana. Kwamawacliano piga 111,112 au 113.

huwezi kuwa siriaz! koz ya UTAPELI hakuna basi mi mmenikosa
 
Back
Top Bottom