Chuo cha uongozi wa mahakama lushoto

Po.Box 20 Lushoto Tanga.
Simu 272640133.
Fax 272640287.

Nakutakia kila la kheri.
 
po.box 20 lushoto tanga.
Simu 272640133.
Fax 272640287.

Nakutakia kila la kheri.


prty thanx to help him, tunamtakia maisha meme ya elimu, ila lazima atuage akitaka kuondoka!!!!!!!!!!!!!!!
 
Naombeni kama kuna anayeweza kunisaidia utaratibu wa hiki chuo; mfano ada ni sh. ngapi kama nataka kusomea diploma na utaratibu wa malazi. Msaada kwa waliosoma au wanajua kuhusu hichi chuo. Naona hawana hata website.
 
Jamani natamani kuwa join 2011-2012 nifanyaje mda umeisha ila bado hawajaanza kusoma
 
Back
Top Bottom