Chuo cha uongozi kivukoni kipo?

MAN OF CHANGES

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
507
191
Wakati wa utawala wa Hayati baba wa taifa, alianzicha chuo cha uongozi Kivukoni baada ya kuona kuna tatizo la viongozi waadilifu na wazalendo.Hatua hiyo ilisaidia sana wakati wa uongozi wake ila baada ya kuanzishwa mfumo wa vyama vingi chuo hicho kilikosa nguvu na sidhani kama bado kipo mpaka sasa, na kama kipo bado kina lengo lilelile la mwanzo la kuandaa viongozi? na kama wanaandaliwa ni vyama vyote vinapeleka watu wao? JK naye alipitia hichi chuo kweli?
 
Back
Top Bottom