Chuo cha uhasibu arusha kunani jamani?????

James J

Member
Jan 13, 2009
22
0
Jamani management ya chuo cha uhasibu,vp kama hamtaki kutufanyia hiyo graduation basi tupeni hizo transcripts ze2 tunashindwa kupata kazi waajiri wengi hasa serikalini hawataki provisional result jamani we suffer!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom