Chuo cha Mkwawa hivi kweli ndo maisha haya

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,001
Cha kushangaza ni kua boom limeletwa chuoni...Hatujasaini mpaka leo.....Sisi ni mafukara ndo mana tunategemea bodi,,...Tabia ya hapa mpaka fujo ndo mgomo..::inakera sana.....Mana ikitokea migomo mda mwingi unapotea.:::Tanzania bili migomo inawezekana:::
 
Ni kweli mkuu mana hawatupendi:::wanatutesa kinoma
 
Watakuwa wanaendelea na mchakato wa malipo. Kumbuka hiyo ni fedha ya walipakodi so kuna utaratibu wake. Kuweni wapole na wavumilivu.
 
Hata hostel mbaya kwel.kwan kuna watu tunakaa chumba kimoja had watu 6 hi zaid ya mfugo.hata status ya uanachuo inashuka
 
Hata hostel mbaya kwel.kwan kuna watu tunakaa chumba kimoja had watu 6 hi zaid ya mfugo.hata status ya uanachuo inashuka

Sasa kuna wenzenu wamemaliza hapo wapo kazini wamepanga kwenye nyumba za nyasi, wanakunywa maji ya visimani, wanaoga kwenye vidimbwi, kua uyaone!!
 
Nishachezea maisha hayo:;Mazingira mengine magumu,...Ila nilivumilia nikahamishwa adi Lugoba-Chalinze......:.Mtoto wa mkulima nakomaa kama sangare
 
Poleni wadogo zangu hapo ufisadi unaanzia UDSM kwa Mukandala then huyo Principal wenu Prof. mushi hv niwaulize yule alikuwa Mkuu wa Chuo bado yupo? maana duuh yule mchaga hatari! alihakikisha nakula kila senti inayoingia. angalau majengo mapya yanayojengwa na pavement zilizowekwa chini ya kiwango jamaa kashakula pesa achilia hizo za Bodi kuna "za chini chini" kuwa kesi inanguruma wanataka wamfunge huyo mjamaa mushi li-prof lijizi.
 
Kaondolewa mkuu.......Kaletwa Amandina Lihamba.::::,female...:::::;;;;naona kuna walorithi mokoba ya mheshimiwa...::::katika msafara wa mamba mkuu
 
Hata hostel mbaya kwel.kwan kuna watu tunakaa chumba kimoja had watu 6 hi zaid ya mfugo.hata status ya uanachuo inashuka


Pole sana maana Naona ndoto ulizokuwa unaota kuwa chuoni ni mahali pazuri zimeanza kupotea.
Na Hapo Mkwawa lazima uwe ngangari kama alivyokuwa Chief Mkwawa mwenyewe.

Suala la hostel au mabweni ni tatizo la vyuo vyote tanzania. hakuna chuo kinachoweza kukidhi mahitaji ya malazi ya wanafunzi wake wote. Ukienda UDSM main campus, RUCO, udom ect ndo utajua ukweli wenyewe.
 
Hata hostel mbaya kwel.kwan kuna watu tunakaa chumba kimoja had watu 6 hi zaid ya mfugo.hata status ya uanachuo inashuka

Kizazi cha facebook vituko mtupu. Kijana anaonekana hajui Tanzania ikoje. Anafika chuon anaanza kuwaza status. Eti status ya wanachuo inashuka. Kwani mtu akiwa chuoni hapa Tanzania anakuwa na status gani? Ulifikiri ukiwa chuoni hapo Mkwawa utakuwa tofauti sana na watanzania wengine? Kama vipi Panga chumba mtaani uone huko nako kukoje. Chuoni ni sehemu ya kawaida sana tena ukikaa miezi miwil au mitatu utaona hakuna jipya ila mizengwe tu. Ukipigwa mchakamchaka wa lecture, zije testi moja au mbili tu mambo ya status utasahau mwenyewe. Mwisho wa yote maliza chuo uje uraiani, huku ndio kwenye fainali nna ukiwa mwalimu kwenye shule ya kata ndio utajua tanzania ikoje. Lakini Hongera sana kwa kupata nafasi chuo kikuu
 
Ok Mkuu hadi leo tunesaini hela baadhi wanatuambia zinashughulikiwa.
 
Back
Top Bottom