Chuo cha mipango (irdp) dodoma.

Eshacky

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
965
244
Wasalam wana jamvini, natumai mko bukheri wa afya.
Mdogo wenu nimefanikiwa kupata nafasi kusomea degree ya population and devolopment planning, (2011). Kwa wale ambao wameshasoma au kukifahamu vizuri, naomba kunipa ushauri na maono yenu kwa mdogo wenu wakati nitapojiunga rasmi.
Nawasilisha.

Kasome mkuu, mungu akujalie utimize lengo lako kama vile ulivyoomba.

Kaka me nakupa bigUP tu.0
Wasalam wana jamvini, natumai mko bukheri wa afya.

Mdogo wenu nimefanikiwa kupata nafasi kusomea degree ya population and devolopment planning, (2011). Kwa wale ambao wameshasoma au kukifahamu vizuri, naomba kunipa ushauri na maono yenu kwa mdogo wenu wakati nitapojiunga rasmi.

Nawasilisha.

Wasalam wana jamvini, natumai mko bukheri wa afya.
Mdogo wenu nimefanikiwa kupata nafasi kusomea degree ya population and devolopment planning, (2011). Kwa wale ambao wameshasoma au kukifahamu vizuri, naomba kunipa ushauri na maono yenu kwa mdogo wenu wakati nitapojiunga rasmi.
Nawasilisha.

Nenda kasome ni kozi nzuri sana kwa sababu utapata skills nyingi za Statistics ana Economics

Wakuu, kama kuna ambaye ana uelewa juu ya hii kozi, sio mbaya kudadavua kiunagaubaga nadhan itakuwa tija kwa wote.. Kwa namna moja au nyengine.

Lile liclub maisha la dar lnalowaka spotlight kali ucku ndo kama 84 huku dom!

naisikiaga skiaga ndo bills ya dom nini?? Mim na hayo mambo n tofaut mkuu. Tnx kwa ushauri

Wasalam wana jamvini, natumai mko bukheri wa afya.

Mdogo wenu nimefanikiwa kupata nafasi kusomea degree ya population and devolopment planning, (2011). Kwa wale ambao wameshasoma au kukifahamu vizuri, naomba kunipa ushauri na maono yenu kwa mdogo wenu wakati nitapojiunga rasmi.

Nawasilisha.

mbna unawasiwasi dogo kasome.

Wasalam wana jamvini, natumai mko bukheri wa afya.

Mdogo wenu nimefanikiwa kupata nafasi kusomea degree ya population and devolopment planning, (2011). Kwa wale ambao wameshasoma au kukifahamu vizuri, naomba kunipa ushauri na maono yenu kwa mdogo wenu wakati nitapojiunga rasmi.

Nawasilisha.

mbna unawasiwasi kama unaoga nje dogo kasome, all the best.

Back
Top Bottom