Chuo cha kodi cha TRA, hivi kuna ukweli wahitimu wake wakimaliza tu, ajira hapohapo?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Wadau kuna ndugu yangu anataka kwenda kusoma chuo cha kodi cha tra cha mikocheni hivi ni kweli mtu akimaliza anapewa ajira moja kwa moja kama mtu amesoma pale basi au ana ndugu yake atujuze ili tufahamu kama kuna ukweli wowote ndugu yangu asije kuingia chaka
 
kwa hiyo mkienda kusoma wanafunzi 1,000 na wote mkagraduate kwa mpigo mnapata ajira wote sababu mmemaliza pale?don't belive everything you hear or read,..changanya na za kinega
 
wapendwa ufaulu unaohitajika niwavp mm nina
kiswahili c
civics c
english d
biology d
geography d
history d
chemistry d
physics f
maths f
nisaidieni tafadhali
 
wapendwa ufaulu unaohitajika niwavp mm nina
kiswahili c
civics c
english d
biology d
geography d
history d
chemistry d
physics f
maths f
nisaidieni tafadhali
Tafuta chuo soma certificate/ diploma mdogo mdogo mpaka degree...sio mstokeo mabaya usireseat kwa ajili ya A level haina maana
 
Back
Top Bottom