Chuo cha KIU

Siamini kama ndio unataka ku apply, maana msimu wa kufanya applications ushapita. Ila kama ndio umechaguliwa kwenda chuo hiki ambacho hukifahamu hata A basi umechemsha vibaya. Siamini kama umechaguliwa au ndugu yako kachaguliwa kwenda kwenye chuo usichokifahamu, ila naamini wajiandaa kwa ajili ya applications za mwaka 2012.

Mkuu unaweza ukatuwekea vigezo ulivyotumia kukiona hakifai?

Kumbuka KIU kimepanuka zaidi ya nchi mmoja, hapo wawezaje kusema kichanga? Je wajua KIU DAR ni constituent College ya KIU Uganda?

Umefanyia utafiti miundo mbinu yake na style yake ya ufundishaji kama ni copying and pest au ni kumuandaa mtu kujiajiri?

Je umefanyia uchunguzi marticultural yake ilivyo miongoni mwa staff wake including lectures?

USHAURI
Tulia, na utupe utafiti wako na utueleze umetumia methodology zipi kufikia hilo hitimisho lako
 
Back
Top Bottom