Chuo Cha kilimo Ukiriguru-Tanga

mgunda1990

Member
Jul 19, 2012
73
4
Habari, waungwana naskia Tanga kuna chuo cha kilimo kinaitwa UKIRIGURU, yeyote mwenye ufahamu please naomba msaada nimejarbu kucheki na mtandao but sijafanikiwa na je wanafanya ngaz ya cheti?natanguliza shukran
 
habar,waungwana naskia tanga kuna chuo cha kilimo kinaitwa UKIRIGURU,yeyote mwenye ufahamu plz naomba msaada nimejarbu kuchek na mtandao bt cjafanikiwa,na je wanafanya ngaz ya cheti?natanguliza shukran

Ukiruguru kipo Mwanza, kwa Tanga, chuo cha kilimo kinaitwa Mlingano, sawa dogo?
 
Mimi pia nina shida ya Application form za Chuo cha UKIRIGURU 2015/2015 Pls aliyeziona hizo form tunaomba msaada wako tafadhali. Naona website ya Wizara ya Kilimo ambayo ndiyo ina hizo form haifunguki
 
Hivi tuliomba mwaka huu vyuo vya kilimo majibu yamashatoka tayari...?
 
Habari, waungwana naskia Tanga kuna chuo cha kilimo kinaitwa UKIRIGURU, yeyote mwenye ufahamu please naomba msaada nimejarbu kucheki na mtandao but sijafanikiwa na je wanafanya ngaz ya cheti?natanguliza shukran
Kipo mwanza pia

the great
 
Back
Top Bottom