Chuo cha kilimo(MATI-ILONGA}

double click

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
569
945
wakuu,
Samahani sana nipo mbali na chuo nimechaguliwa kujiunga na chuo tajwa hapo juu mpaka sasa sijajua vitu gani vinahitajika chuoni kama vile ada na mahitaji mengine. Kwenye sanduku la posta sijafanikiwa kutumiwa joining instruction.
Kwa yoyote anaeweza kunisaidia kupata joining instruction. Tafadhal asisite kutoa mchango wake.
Mbarikie
 
Mwalimu Khamis bado yupo hapo MATI ILONGA? Nimekaa sana hapo miaka ya 80's maeneo ya mkono wa mara na msalabani then nikawa nasoma chuo cha ualimu hapo ilonga vimepakana.
 
Back
Top Bottom