Chuo cha cbe,ifm na iaa kufundisha it na computer science ni sawa au ni biashara

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Chuo cha cbe ni chuo cha biashara ila wanafundisha it,chuo cha ifm ni chuo cha usimamizi wa fedha
lakini wanafundisha it na computer science,chuo iaa ni chuo cha uhasibu kinafundisha computer
science na it je ni sawa vyuo hivi kufundisha kozi hizi sawa au ni biashara ya kijifedha
 
Ni sawa
 
Kwn unavyofikiri ww chuoni km udom au mlimani au vyuo ambavyo wewe umemeza kuwa ndivyo pekee kwa IT,kwn wanafundisha na kina nani??na mitume??na mizimwi??na wachawi??kunasomea wapi?angani?mwezini??sayar ya pluto??
Cha msingi ni madarasa na walimu na facilities zngne,kwn kama walimu...ndio hao hao wa ud or udom,ndio wanafundisha vyuo tajwa hpo juu.!!
 
  • Thanks
Reactions: mka
Ili mradi kusiwe na uchakachuzi. Walimu wenye sifa, curiculum iwe approved/accredited, facilities in place both quality and quantity
 
Chuo cha cbe ni chuo cha biashara ila wanafundisha it,chuo cha ifm ni chuo cha usimamizi wa fedha
lakini wanafundisha it na computer science,chuo iaa ni chuo cha uhasibu kinafundisha computer
science na it je ni sawa vyuo hivi kufundisha kozi hizi sawa au ni biashara ya kijifedha

Punguza mawazo mgando na jifunze kuandika vizuri,na hiyo C,C++ unajifunza vipi kama unashindwa kutofautisha kati ya CBE,IT na cbe, it.
:focus: Ni sawa ndio maana wanafundisha course hizo.
 
tatizo nikiangalia jina la chuo......na mtu ukisoma cbe,ifm na iaa cheti chako kufanya kazi nchi za zingine wanaweza wakashangaa jina la chuo....kozi
 
Chuo cha cbe ni chuo cha biashara ila wanafundisha it,chuo cha ifm ni chuo cha usimamizi wa fedha
lakini wanafundisha it na computer science,chuo iaa ni chuo cha uhasibu kinafundisha computer
science na it je ni sawa vyuo hivi kufundisha kozi hizi sawa au ni biashara ya kijifedha

Mi naona iko sawa 2 kama walamu wa hizo coz wap, vp kuhusu BBA kuwepo MIST-mbeya?
 
tatizo nikiangalia jina la chuo......na mtu ukisoma cbe,ifm na iaa cheti chako kufanya kazi nchi za zingine wanaweza wakashangaa jina la chuo....kozi

IT = Business
IT = Finance

Tatizo umesoma ili utumie cheti ulichopata badala ya Elimu ulopata.
 
Hayo ni majina tu ya vyuo yasikupe tabu. Swala la muhimu ni mazingira ya kutoa hizo kozi.
 
Back
Top Bottom